Wikipedia ya Kipoland

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Favicon of Wikipedia Wikipedia ya Kipoland
Logo of the Polish Wikipedia
Kisara http://pl.wikipedia.org/
Ya kibiashara? Hapana
Aina ya tovuti Mradi wa Kamusi Elezo ya Interneti
Kujisajiri Hiari
Lugha asilia Kipoland
Mmiliki Wikimedia Foundation
Imeanzishwa na 26 Septemba 2001

Wikipedia ya Kipoland (Kipoland: polska Wikipedia) ni toleo la kamusi elezo ya Wikipedia kwa lugha ya Kipoland. Wikipedia kwa Kipoland, ni toleo la tisa la Wikipedia. Ilianzishwa mnamo tar. 26 Septemba katika mwaka wa 2001. Na kwa mwezi wa Mei 2008, imefikisha makala zaidi ya 500,000, na kuifanya iwe toleo la nne kwa ukubwa baada ya Wikipedia kwa Kiingereza, Kijerumani, na Kifaransa. Hii ni toleo kubwa la Wikipedia katika orodha ya lugha za Kislavoni kwa idadi ya makala.

[hariri] Viungo vya Nje

Wikipedia
Wikipedia ya Kipoland ni toleo la Wikipedia, kamusi elezo huru


WikiLettreMini.svg Makala hiyo kuhusu "Wikipedia ya Kipoland" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri".

Ikiwepo makala kuhusu Wikipedia ya Kipoland kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili.