Wikipedia ya Kirusi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Favicon of Wikipedia Wikipedia ya Kirusi
Wikipedia-logo-v2-ru.png
Ya kibiashara? Hapana
Aina ya tovuti Internet encyclopedia project
Kujisajiri Hiari
Lugha asilia Kirusi
Mmiliki Wikimedia Foundation

Wikipedia ya Kirusi (Kirusi: Русская Википедия) ni toleo la kamusi elezo ya Wikipedia kwa lugha ya Kirusi. Mnamo tar. 16 Agosti, 2006, Wikipedia ya Kirusi imefikisha makala 100,000. Mnamo tar. 29 Novemba, 2006, ilizawadiwa "Tuzo ya Runet" (Премия Рунета) katika kundi la sayansi na elimu.[1] Kunako tar. 17 Machi, 2008, imefikisha makala 250,000 na mnamo tar. 19 Mei, 2008, imekuwa Wikipedia ya 10 kwa ukubwa.

Mnamo tar. 25 Februari, 2010, Wikipedia ya Kirusi imepita idadi ya makala 500,000.

[hariri] Marejeo

[hariri] Viungo vya Nje

Wikipedia
Wikipedia ya Kirusi ni toleo la Wikipedia, kamusi elezo huru
Nuvola apps bookcase.svg Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wikipedia ya Kirusi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine