Wikipedia ya Kifaransa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Favicon of Wikipedia Wikipedia ya Kifaransa
Wikipedia-logo-v2-fr.svg
Kisara http://fr.wikipedia.org/
Ya kibiashara? Hapana
Kujisajiri Hiari
Lugha asilia Kifaransa
Mmiliki Wikimedia Foundation
Imeanzishwa na 23 Machi 2001

Wikipedia ya Kifaransa (Kifaransa:Wikipédia francophone, Wikipédia en français) ni toleo la kamusi elezo ya Wikipedia kwa lugha ya Kifaransa, inaandikwa Wikipédia. Wikipedia ya Kifaransa ilianzishwa mnamo mwezi Machi, 2001. Toleo hili lina makala zaidi ya lakhi 750,000 kwa mwezi wa Januari, 2009, na kuifanya iwe toleo la Wikipedia ya tatu kwa ukubwa baada ya Wikipedia ya Kiingereza na Wikipedia ya Kijerumani. Hata hivyo, ni Wikipedia ya kwanza kwa ukubwa katika orodha ya Lugha za Kirumi.

[hariri] Tazama pia

[hariri] Viungo vya Nje

Nuvola apps bookcase.svg Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wikipedia ya Kifaransa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine