Qatar
|
|||||
| Wito la taifa: | |||||
| Wimbo wa taifa: As Salam al Amiri | |||||
![]() |
|||||
| Mji mkuu | Doha |
||||
| Mji mkubwa nchini | Doha | ||||
| Lugha rasmi | Kiarabu, Kiingereza | ||||
| Serikali | Ufalme Hamad bin Khalifa Abdullah bin Khalifah Al Thani |
||||
| Uhuru1 |
3 Septemba 1971 | ||||
| Eneo - Jumla - Maji (%) |
11,437 km² (ya 164) „kidogo sana“ |
||||
| Idadi ya watu - Julai 2006 kadirio - 2004 sensa - Msongamano wa watu |
839,213 (ya 158) 744,029 [1] 74/km² (ya 121) |
||||
| Fedha | Riyal (QAR) |
||||
| Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
(UTC+3) (UTC+3) |
||||
| Intaneti TLD | .qa | ||||
| Kodi ya simu | +974 |
||||
| 1 Qatar ilitawaliwa na familia ya Al Thani tangu karne ya 19 lakini ilikuwa chini ya Uingereza katika karne ya 20 |
|||||
Qatar (Kiarabu: قطر ) ni emirati ndogo wa Uarabuni kwenye rasi ya Qatar ambayo ni sehemu ya rasi kubwa ya Uarabuni.
Imepakana na Saudia upande wa kusini. Mipaka mingine ni ya Ghuba ya Uajemi. Kisiwa cha Bahrain kiko karibu.
Wananchi wengi wa Qatar kwa asili ni Waarabu na Waafrika (utumwa nchini ulichelewa sana kufutwa). Lakini kati ya wakazi laki nane na nusu, yaani idadi kubwa sana si Waqatari wenyewe bali ni wafanyakazi kutoka nchi mbalimbali.
Kiarabu ni lugha rasmi ya nchi lakini Kiingereza hutumiwa mara nyingi kwa mawasiliano ya biashara na ofisini.
Waqatari wenyewe ni Waislamu lakini wakazi kutoka nje hufuata dini mbalimbali.
Uchumi wote wa Qatar una msingi wa mafuta ya petroli na gesi yake.
Viungo vya nje [hariri]
- (Kiingereza) na (Kiarabu) Tovuti ya serikali
| Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Qatar kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
| Nchi na maeneo ya Asia |
|
Afghanistan | Armenia2 | Azerbaijan | Bahrain | Bangladesh | Bhutan | Brunei | China | Falme za Kiarabu | Georgia2 | Hong Kong3 | Indonesia | Iran | Iraq | Israel | Japan | Kambodia | Kazakhstan | Korea Kaskazini | Korea Kusini | Kupro2 | Kuwait | Kirgizstan | Laos | Lebanon | Macau3 | Malaysia | Maldivi | Mongolia | Myanmar | Nepal | Omani | Pakistan | Palestina | Qatar | Urusi1 | Saudia | Singapore | Sri Lanka | Syria | Taiwan (Jamhuri ya China) | Tajikistan | Timor ya Mashariki | Ufilipino | Uthai | Uturuki1 | Turkmenistan | Uhindi | Uzbekistan | Vietnam | Yemen | Yordani |
| 1. Nchi ina maeneo katika Asia na Ulaya. 2. Nchi hii iko Asia lakini kwa sababu za kihistoria au kiutamaduni inahesabiwa pia kati ya nchi za Ulaya. 3. Eneo la pekee la China. |
