Gaziantep

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mji wa Gaziantep

Gaziantep (kwa Kiosmani Kituruki; Ayintap; jina la zamani na hadi leo linatumika kufupisha kama: Antep) ni mji mkuu wa Jimbo la Gaziantep nchini Uturuki. Mji huu unatazamwa kama moja kati ya miji ya kale duniani ambayo hadi leo bado inakaliwa.

Mji huo una vituo viwili vya utawala wa wilaya zake, Şahinbey na Şehitkamil, na unakaliwa na wakazi wapatao 1,237,874[1] (2007) na una eneo la kilomita za mraba zipatazo 2,138.[2]

Huu ni mji wa sita kwa ukubwa nchini Uturuki na ndio mji mkubwa katika Anatolia ya Kusini-Mashariki - Uturuki.

Jina la mji[hariri | hariri chanzo]

Mji ulikuwa ukijulikana na Wagiriki wa Kale na Waroma kama Doliche au Dolichenus (kwa Kituruki: Dülük). Waarabu, Waseljuk, Waosma walilijua kama ʿAintab au Aïntab, ambalo linatokana na Kiarabu Ayn (chemchem) na tab (nzuri).

Tangu tarehe 8 Februari 1921,[3].

Mji ulipewa jina rasmi la Gaziantep, gazi kwa Kiarabu likiwa na maana ya mkongwe.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Türkiye istatistik kurumu Address-based population survey 2007. Retrieved on 2008-03-21.
  2. Statoids, Districts of Turkey Retrieved on 2008-03-21.
  3. Bunge la Uturuki lilitoa jina la mji kuwa ni Gazi ("shujaa mshindi") mnamo 8 Februari 1921 (on the day of its surrender to French troops and in recognition of long resistance and the valor of its inhabitants during the Franco-Turkish War phase of the Vita vya Uhuru wa Uturuki,Chronology of Atatürk's life and the Turkish War of Independence 1921 chronology (Turkish). Turkish Ministry of Culture. and the city officially took the name Gaziantep ("Antep the Veteran"). Records (Turkish). Turkish Grand National Assembly. Jalada kutoka TBMM ya awali juu ya 2008-06-14.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Gaziantep kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.