Adana (Kigiriki Άδανα) ni mji mkubwa katika nchi ya Uturuki. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2000, mji una wakazi wapatao 1,130,710 waishio huko,[2] na kuufanya kuwa mmoja kati ya miji mitano mikubwa ya Uturuku (baada ya Istanbul, Ankara, İzmir na Bursa). Mwaka wa 2006 mji wa Adana umekadiriwa kufikia iadadi ya wakazi wapatao 1,271,894. Huu ndiyo mji mkuu wa Mkoa wa Adana.
[hariri] Viungo vya nje
 |
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Adana kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |