Muğla
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Muğla | |
| Old Muğla on the slopes of the flat-topped Mount Hisar or Asar (Dağı) | |
| Nchi | |
|---|---|
| Mkoa | Aegean |
| Jimbo | Muğla |
| Idadi ya wakazi (2000) | |
| - Mji | 83,511 |
| Tovuti: www.mugla.gov.tr | |
Muğla ni jina la mji uliopo nchini Uturuki. Huu ni mji mkuu wa Jimbo la Muğla, ambayo imekuja hadi katika pwani ya Bahari ya Aegean upande wa kusini-magharibi mwa nchi. Mji upo m 660 kutoka juu ya usawa wa bahari.
[hariri] Marejeo
[hariri] Viungo vya Nje
- Governor's Office
- the Municipality
- local information (Kituruki)
- Mugla guide
- Photographs and information about Muğla, Turkey guide
- Pictures of the city
- Mugla- Akyaka beaches
|
|||||||
| Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Muğla kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |