Nevşehir

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Nevşehir


Nevşehir
Nchi Uturuki
Mkoa Anatolia ya Kati
Jimbo Nevşehir
Idadi ya wakazi (2000)
 - Wakazi kwa ujumla 105,078
Tovuti:  www.nevsehir.gov.tr

Nevşehir (zamani waliuita Muşkara au Nyssa) ni jina la kuita mji mkuu wa Jimbo la Nevşehir huko nchini Uturuki. Mji huu upo katika Mkoa wa Anatolia ya Kati katika Uturuki. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2000, mji una wakazi takriban 105,078 ambao wengine 67,864 wanaishi katikati ya mji wa Nevşehir.[1][2] Mji unachukua eneo la kilomita za mraba zipatazo 535,[3] na mji umelala m 1224 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Maelezo[hariri | hariri chanzo]

  1. Turkish Statistical Institute. Census 2000, Key statistics for urban areas of Turkey (XLS) (Turkish). Jalada kutoka ya awali juu ya 2007-07-22. Iliwekwa mnamo 2008-04-12.
  2. GeoHive. Statistical information on Turkey's administrative units (English). Jalada kutoka ya awali juu ya 2012-03-18. Iliwekwa mnamo 2008-04-12.
  3. Statoids. Statistical information on districts of Turkey (English). Iliwekwa mnamo 2008-04-12.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:


Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Nevşehir kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.