Osmaniye

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
A view from Osmaniye

Osmaniye ni mji mdogo katika mkoa wa Çukurova huko nchini Uturuki. Huu ni mji mkuu wa Jimbo la Osmaniye. Mji huu unachukua eneo la kilomita za mraba zipatazo 3,767. Mji huu wa Osmaniye ulikadiriwa kuwa na wakazi takriban 185,000. Idadi ya wakazi huko jimboni kwake ni:465.000 (2008).

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]


Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Osmaniye kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.