Siirt

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Siirt (Kikurdi:Sêrt), Kiarabu:سعرد) ni jina la mji uliopo mjini kusini-mashariki mwa nchi ya Uturuki na ndiyo mji mkuu wa Jimbo la Siirt. Mjini kwa Siirt kumechanganya wakazi kati ya Wakurdi, Waturuki, na Waarabu. Idadi ya wakazi jinsi ilivyohesabiwa hapo mwaka wa 2000 ilikuwa takriban watu 98,281 wanaoishi mjini hapa.

Ingawa mji bado unaonekana kama mmoja kati ya miji maskini katika Uturuki, lakini bado kuna watu wamejenga majumba ya kisasa, maduka, mabenki na mahoteli leo hii yanapatikana mjini hapa.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]


Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Siirt kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.