Zonguldak
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Zonguldak ni mji na ndiyo mji mkuu wa Mkoa wa Zonguldak katika kanda ya Bahari Nyeusi nchini Uturuki. Idadi ya wakazi wanaoishi mjini hapa ni 104,276 ambayo ilihesabiwa mnamo mwaka wa 2000. bandari muhimu ya Bahari Nyeusi, na ni maarufu kwa ajili ya migodi ya koli.
Viungo vya Nje [hariri]
- Zonguldak sitesi
- http://www.zonguldaksitesi.com/ Guide of Zonguldak (Kituruki)
- Provincial governor's official website (Kituruki)
- History of Zonguldak
- Pictures of Zonguldak
- everything about of Zonguldak
- Zonguldak - Turkish
- Ramani za mtandaoni
- Picha
- Zonguldak Fotoğrafları
- [1] 19th century photographs relating to coal mining
- Video
|
|||||||
| Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Zonguldak kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |