Kırıkkale

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Bonde la Mto Delice.

Kırıkkale ni jina la mji mkuu wa Jimbo la Kırıkkale huko chini Uturuki. Upo kilomita 80 kutoka mashariki mwa mji wa Ankara. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2000, idadi ya wakazi wanaoishi katika mji huu ilikadiriwa kuwa takriban ni 225,005 ambao wengine 205,078 wanaishi katikati ya mji wa Kırıkkale.[1][2] Jina la mji huu linamaana ya ngome iliyovunjikwa. Mji upo mita 713 kutoka juu ya usawa wa bahari.

[hariri] Maelezo

  1. Turkish Statistical Institute. Census 2000, Key statistics for urban areas of Turkey (XLS) (Turkish). Rudishwa juu ya 2008-03-19.
  2. GeoHive. Statistical information on Turkey's administrative units (English). Rudishwa juu ya 2008-03-19.

[hariri] Marejeo

[hariri] Viungo vya Nje


Turkey stub.png Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kırıkkale kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine