Şırnak

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mji Wa Şırnak

Şırnak ni kamji kaliopo mjini kusini-mashariki mwa nchi Uturuki. Huu ni mji mkuu wa Jimbo la Şırnak.

Mji huu umezungukwa na na milima mirefu sana, na ndiyo mji mkuu na mkoa mdogo kabisa katika Kanda ya Anatolia ya Mashariki, Uturuki. Mji huu mwanzoni ulikuwa wa Mkoa wa Hakkari. Geti kubwa la bandari ya kuelekea Iraq lipo hapa ambapo pia kuna barabara na ni kiungo kikubwa cha kuelekea nchi za Mashariki ya Kati.

Idadi ya wakazi ya mjini ilikadiriwa kufikia 353,000 (sensa ya mwaka 2000) wanaokalia katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 7,172. Wilaya za mjini hapa ni pamoja na Beytussebap, Cizre, Guclukonak, Idil, Silopi, na Uludere.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]


Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Şırnak kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.