Kırşehir

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kırşehir

Kırşehir (zamani uliitwa Macissus, Mocissus au Mokissus na Justinianopolis) ni mji uliopo nchini Uturuki. Huu ni mji mkuu wa Jimbo la Kırşehir. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2000, mji umekadiriwa kuwa na wakazi wapatao 115,078 ambao wengine 88,105 wanaishi katikati ya mji wa Kırşehir.[1][2] Mji upo mita 1,027 juu ya usawa wa bahari.

Maelezo[hariri | hariri chanzo]

  1. Turkish Statistical Institute. Census 2000, Key statistics for urban areas of Turkey (XLS) (Turkish). Jalada kutoka ya awali juu ya 2007-07-22. Iliwekwa mnamo 2008-03-19.
  2. GeoHive. Statistical information on Turkey's administrative units. Jalada kutoka ya awali juu ya 2012-03-18. Iliwekwa mnamo 2008-03-19.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Vungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kırşehir kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.