Nenda kwa yaliyomo

Upper Hill, Nairobi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Upper Hill


Upper Hill, Nairobi ni mtaa wa Nairobi, mji mkuu wa Kenya, unaoenea katika tarafa za Kibera na Dagoretti Kaskazini.