Ukanaji Mungu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Richard Dawkins ni mkanaji Mungu mashuhuri katika karne ya 21

Ukanaji Mungu (pia: makufuru, uatheisti) ni dhana inayokataa kuwepo kwa Mungu.

Mara nyingi aina mbili za ukanaji Mungu hutofautishwa ambazo ni

  • ukanaji unaosema hakuna sababu ya kuamini kuwepo kwa Mungu kwa sababu akili au sayansi zinaweza kueleza kila kitu.
  • ukanaji mkali unaodai ya kwamba kuwepo kwa Mungu haiwezekani.

Wakanaji mashuhuri wa karne ya 19 walikuwa Ludwig Feuerbach, Karl Marx, Friedrich Engels na Friedrich Nietzsche. Wakanaji muhimu katika karne ya 20 walikuwa kwa mfano Siegmund Freud, Vladimir Lenin, Mao Zedong.


Icon-religion.png Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ukanaji Mungu kama historia yake au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.