Timu ya Taifa ya Zanzibar
Shirt badge/Association crest | |||
Nickname(s) | Zanzibar Heroes | ||
---|---|---|---|
Shirika | Zanzibar Football Federation | ||
Shirikisho | CAF (Africa) | ||
Most caps | Suleiman Selemba (32) | ||
Top scorer | Abdallah Juma Ally (9) | ||
Home stadium | Amaan Abeid Complex | ||
msimbo ya FIFA | ZAN | ||
Elo ranking | Kigezo:World Football Elo Ratings | ||
Highest Elo ranking | 90 (1947) | ||
Lowest Elo ranking | 171 (November 1992) | ||
| |||
First international | |||
Tanganyika 3–1 Zanzibar (Dar es Salaam, Tanganyika; 18 September 1947) | |||
Biggest win | |||
Isio rasmi Zanzibar 6–0 Kigezo:Country data Raetia (Arbil, Iraq; 4 Juni 2012) Rasmi Kigezo:Country data ZAN 4–0 Burundi (Mumias, Kenya; 29 Novemba 2009) | |||
Biggest defeat | |||
Kenya 10–0 Zanzibar (Nairobi, Kenya; 4 October 1961) | |||
VIVA World Cup | |||
Appearances | 1 (First in 2012) | ||
Best result | Third place (2012) | ||
Kombe la CECAFA | |||
Appearances | 58 (First in 1947) | ||
Best result | Washindi (Kombe la CECAFA 1995) |
Timu ya Taifa ya Zanzibar (maarufu kwa jina la Zanzibar Heroes) inaiwakilisha Zanzibar kwenye mashindano ya kimataifa ya mpira wa miguu na inasimamiwa na shirikisho la mpira wa miguu la Zanzibar.
Historia
[hariri | hariri chanzo]Zanzibar sio mwanachama wa shirikisho la mpira wa miguu Duniani FIFA, hivyo haiwezi kushiriki mashindano ya Kombe la Dunia. Zanzibar ni sehemu ya Tanzania ambayo ni mwanachama wa FIFA katika ngazi za kimataifa. Kabla ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar mwaka 1964, Zanzibar ilikuwa mwanachama wa kujitegemea wa chama cha mpira wa miguu Afrika CAF, lakini haikuwahi kufuzu fainali za Kombe la Mataifa Afrika.
Zanzibar alishawahi kuwa mwanachama wa muda kwenye bodi ya N.F. Walishika nafasi ya pili kwenye mashindano ya FIFI Wild Cup yam waka 2006, wlaipoteza fainali kwa penati 4-1 dhdi ya Timu ya taifa ya Uturuki. Katika michuano hiyo, Oliver Pocher alikua ndiye Kocha wao, anatokea nchini Ujerumani na ni msanii wa vichekesho.
Timu yao ya vijana wa umri chini ya miaka 20 ilishiriki mashindano ya ELF Cup ya mwaka 2006, walimaliza nafasi ya nne kati ya timu nane, walishinda mchezo mmoja tu dhidi ya Krygystan kwa kuwafunga goli 1-0, walitoka sare michezo miwili dhidi ya Gaugazia na Greenland kabla ya kupoteza kwa magoli 5-0 dhidi ya Northern Cyprus hatua ya nusu fainali. Mara kwa mara huwa wanashiriki mashinado ya CECAFA, mashindano haya yanahusisha timu za taifa kutoka Afrika mashariki na Afrika ya Kati na walishinda taji hilo mwaka 1995, waliwafunga wenueji wa mashindano hayo timu ya taifa ya Uganda goli 1-0 kwenye hatua ya fainali.
Mnamo Machi 2017, Zanzibar walipata uanachama wa CAF na kuwa mwanachama wa 55,[1] Uanachama wao ulidumu kwa miezi minne tu, Raisi wa CAF wa kipindi hicho bwana Ahmad Ahmad alitengua uanachama wa Zanzibar kwa madai kwamba uanachama huo haukupaswa kutolewa kwani visiwa vya Zanzibar sio nchi inayojitegemea.[2]
Michezo na Matokeo
[hariri | hariri chanzo]Kigezo:Football box collapsible
Historia ya Makocha
[hariri | hariri chanzo]- Gheorghe Dungu (1972–1974)
- Oliver Pocher (2005–2006)
- Abdel-Fattah Abbas (2006–2008)
- Souleymane Sané (2008–2011)
- Stewart Hall (2010)
- Hemed "Morocco" Suleiman (2017–2021)
- Kigezo:Country data ZAN Hababuu Ali Omar (2021–present)
Wachezaji Mashuhuri
[hariri | hariri chanzo]- Ally Badru – alizichezea timu za El Qanah na Al Bashaer [3][4]
Rekodi
[hariri | hariri chanzo]- As of 14 December 2019
- Wachezaji waliokozwa bado wanachezea Zanzibar.
Wachezaji wenye Michezo Mingi[hariri | hariri chanzo]
|
Wafungaji Bora[hariri | hariri chanzo]
|
Rekodi za Mashindano
[hariri | hariri chanzo]Kombe la CECAFA
[hariri | hariri chanzo]Zanzibar ilishiriki mashindano ya Kombea la Gossage kuanzia mwaka 1949 hadi 1967, ambapo mashindano hayo yalibadilishwa jina na kuitwa the East and Central African Senior Challenge Cup:
rekodi ya Kombe la Gossage .281926.E2.80.931966.29 | ||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Mwaka | Mzunguko | Nafasi | Pld | W | D* | L | GF | GA |
1947 | ’’’Nafasi ya Nne’’’ | 4 | 1 | 0 | 0 | 1 | 1 | 3 |
1948 | Nafasi ya Tatu | 3 | 1 | 0 | 0 | 1 | 1 | 3 |
1949 | ’’’Nafasi ya Nne’’’ | 4 | 1 | 0 | 0 | 1 | 2 | 3 |
1950 | ’’’Nafasi ya Nne’’’ | 4 | 1 | 0 | 0 | 1 | 0 | 4 |
1951 | Nafasi ya Tatu | 3 | 1 | 0 | 0 | 1 | 0 | 1 |
1952 | Nafasi ya Tatu | 3 | 2 | 1 | 0 | 1 | 4 | 8 |
1953 | Nafasi ya Tatu | 3 | 1 | 0 | 0 | 1 | 1 | 5 |
1954 | ’’’Nafasi ya Nne’’’ | 4 | 1 | 0 | 0 | 1 | 0 | 5 |
1955 | Nafasi ya Tatu | 3 | 1 | 0 | 0 | 1 | - | - |
1956 | Nafasi ya Tatu | 3 | 2 | 1 | 0 | 1 | 5 | 7 |
1957 | Nafasi ya Tatu | 3 | 2 | 0 | 1 | 1 | 4 | 8 |
1958 | ’’’Nafasi ya Nne’’’ | 4 | 3 | 0 | 1 | 2 | 3 | 8 |
1959 | Washindi wa pili | 2 | 3 | 1 | 1 | 1 | 3 | 7 |
1960 | ’’’Nafasi ya Nne’’’ | 4 | 3 | 0 | 0 | 3 | 3 | 11 |
1961 | ’’’Nafasi ya Nne’’’ | 4 | 3 | 0 | 0 | 3 | 1 | 15 |
1962 | ’’’Nafasi ya Nne’’’ | 4 | 3 | 0 | 0 | 3 | 0 | 19 |
1963 | ’’’Nafasi ya Nne’’’ | 4 | 3 | 0 | 0 | 3 | 1 | 5 |
1964 | ’’’Nafasi ya Nne’’’ | 4 | 3 | 1 | 0 | 2 | 5 | 10 |
1965 | ’’’Nafasi ya Nne’’’ | 4 | 3 | 0 | 0 | 3 | 2 | 12 |
Kigezo:Country data ZAN 1966 | ’’’Nafasi ya Nne’’’ | 4 | 3 | 0 | 1 | 2 | 1 | 7 |
Jumla | Washindi wa pili | 20/37 | 41 | 4 | 4 | 33 | 37 | 141 |
Rekodi Kombe la Nchi za Afrika Mashariki na Kati | ||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Mwaka | Mzunguko | Nafasi | Pld | W | D * | L | GF | GA |
1967 | Nafasi ya Tatu | 3 | 3 | 1 | 0 | 2 | 3 | 8 |
1968 | ’’’Nafasi ya Nne’’’ | 4 | 3 | 0 | 0 | 3 | 0 | 8 |
1969 | ’’’Nafasi ya Nne’’’ | 4 | 3 | 0 | 0 | 3 | 1 | 12 |
Kigezo:Country data ZAN 1970 | Nafasi ya Tatu | 3 | 3 | 1 | 0 | 2 | 4 | 5 |
1971 | ’’’Nafasi ya Nne’’’ | 4 | 3 | 0 | 1 | 2 | 2 | 8 |
Jumla | Nafasi ya Tatu | 5/5 | 15 | 2 | 1 | 12 | 10 | 41 |
Rekodi Kombe la CECAFA | ||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Mwaka | Mzunguko | Nafasi | Pld | W | D * | L | GF | GA |
Kombe la CECAFA 1973 | Hatua ya Makundi | 5 | 2 | 0 | 0 | 2 | 0 | 6 |
Kombe la CECAFA 1974 | Nafasi ya Tatu | 3 | 2 | 1 | 0 | 1 | 3 | 3 |
Kombe la CECAFA 1975 | Hatua ya Makundi | 6 | 2 | 0 | 0 | 2 | 1 | 7 |
Kigezo:Country data ZAN Kombe la CECAFA 1976 | Hatua ya Makundi | 6 | 3 | 1 | 0 | 2 | 1 | 4 |
Kombe la CECAFA 1977 | Hatua ya Makundi | 6 | 3 | 1 | 0 | 2 | 1 | 4 |
Kombe la CECAFA 1978 | Hawakushiriki | |||||||
1979 Kombe la CECAFA 1979 | ’’’Nafasi ya Nne’’’ | 4 | 4 | 0 | 2 | 2 | 3 | 8 |
Kombe la CECAFA 1980 | Hatua ya Makundi | 5 | 3 | 1 | 0 | 2 | 2 | 5 |
Kombe la CECAFA 1981 | Hatua ya Makundi | 8 | 3 | 0 | 0 | 3 | 3 | 9 |
1982 Kombe la CECAFA 1982 | ’’’Nafasi ya Nne’’’ | 4 | 4 | 1 | 1 | 2 | 3 | 8 |
Kombe la CECAFA 1983 | Hatua ya Makundi | 8 | 3 | 0 | 1 | 2 | 3 | 6 |
Kombe la CECAFA 1984 | Hatua ya Makundi | 8 | 3 | 0 | 0 | 3 | 1 | 4 |
Kombe la CECAFA 1985 | Hawakushiriki | |||||||
Kombe la CECAFA 1987 | Nafasi ya Nne | 4 | 5 | 1 | 2 | 2 | 2 | 3 |
Kombe la CECAFA 1988 | Hatua ya Makundi | 7 | 3 | 1 | 0 | 2 | 1 | 3 |
Kombe la CECAFA 1989 | Hatua ya Makundi | 6 | 3 | 0 | 2 | 1 | 0 | 1 |
Kigezo:Country data ZAN Kombe la CECAFA 1990 | ’’’Nafasi ya Nne’’’ | 4 | 5 | 1 | 1 | 3 | 3 | 5 |
Kombe la CECAFA 1991 | Hatua ya Makundi | 7 | 3 | 0 | 0 | 3 | 4 | 7 |
Kombe la CECAFA 1992 | Hatua ya Makundi | 8 | 4 | 1 | 0 | 3 | 2 | 14 |
Kombe la CECAFA 1994 | Hawakushiriki | |||||||
Kombe la CECAFA 1995 | Washindi | 1 | 5 | 3 | 1 | 1 | 5 | 4 |
Kombe la CECAFA 1996 | Hatua ya Makundi | 5 | 3 | 1 | 1 | 1 | 3 | 3 |
Kombe la CECAFA 1999 | Hatua ya Makundi | 10 | 2 | 0 | 1 | 1 | 1 | 3 |
Kombe la CECAFA 2000 | Hawakushiriki | |||||||
Kombe la CECAFA 2001 | Hatua ya Makundi | 10 | 2 | 0 | 0 | 2 | 0 | 8 |
Kombe la CECAFA 2002 | Hatua ya Makundi | 7 | 4 | 1 | 1 | 2 | 1 | 3 |
Kombe la CECAFA 2003 | Hatua ya Makundi | 5 | 2 | 0 | 1 | 1 | 2 | 6 |
Kombe la CECAFA 2004 | Hatua ya Makundi | 7 | 4 | 1 | 0 | 3 | 7 | 11 |
Kombe la CECAFA 2005 | Nafasi ya Tatu | 3 | 6 | 3 | 2 | 1 | 7 | 6 |
Kombe la CECAFA 2006 | Hatua ya Makundi | 9 | 2 | 0 | 1 | 1 | 0 | 4 |
Kombe la CECAFA 2007 | Quarter-finals | 7 | 3 | 1 | 2 | 0 | 5 | 3 |
Kombe la CECAFA 2008 | Hatua ya Makundi | 8 | 4 | 1 | 1 | 2 | 3 | 5 |
Kombe la CECAFA 2009 | Nafasi ya Tatu | 3 | 6 | 2 | 2 | 2 | 6 | 3 |
Kombe la CECAFA 2010 | Robo fainali | 7 | 4 | 1 | 2 | 1 | 4 | 3 |
Kombe la CECAFA 2011 | Robo Fainali | 7 | 4 | 1 | 1 | 2 | 5 | 4 |
Kombe la CECAFA 2012 | Nafasi ya Tatu | 3 | 6 | 1 | 4 | 1 | 5 | 6 |
Kombe la CECAFA 2013 | Hatua ya Makundi | 9 | 3 | 1 | 0 | 2 | 3 | 6 |
Kombe la CECAFA 2015 | Hatua ya Makundi | 10 | 3 | 1 | 0 | 2 | 3 | 6 |
Kombe la CECAFA 2017 | Washini wapili | 2nd | 6 | 3 | 2 | 1 | 9 | 6 |
Kombe la CECAFA 2019 | Hatua ya Makundi | 8 | 3 | 0 | 1 | 2 | 1 | 3 |
Jumla | Taji 1 | 36/40 | 124 | 29 | 32 | 63 | 100 | 184 |
Kombe la Mataifa Afrika (AFCON)
[hariri | hariri chanzo]Mnamo Machi mwaka 2017, Zanzibar iliorodheshwa kama mwanachama rasmi wa shirika la mpira wa miguu Afrika (CAF), na kuwafanya wawe na stahiki ya kushiriki mashindano ya Kombe la Mataifa Afrika (AFCON).[1] Uanachama wao ulitenguliwa mwezi Julai, hii ni baada ya FIFA kupitisha sheria ya kukataza timuy mbili kutoka taifa moja kushiriki kwenye mashindano hayo.[2]
Mwaka | Mzunguko | Nafasi | GP | W | D | L | GS | GA |
---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Kombe la Mataifa Afrika | ||||||||
Kombe la Mataifa Afrika 1957 – 1963 | Hawakushiriki’’ | |||||||
Kombe la Mataifa Afrika 1965 - 2023 | Hawana Uanachama |
Mashindano Yasiyotambulika na FIFA
[hariri | hariri chanzo]Mashindano ya Dunia
[hariri | hariri chanzo]World tournaments record | ||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Mwaka | Mzunguko | Nafasi | Pld | W | D* | L | GF | GA |
Kombe la FIFI Wild na Kombe la ELF | ||||||||
Kombe la FIFI Wild 2006 | Washindi wa Pili | 2 | 4 | 2 | 1 | 1 | 7 | 6 |
Kombe la ELF 2006 | ’’’Nafasi ya Nne’’’ | 4 | 5 | 1 | 3 | 1 | 5 | 9 |
Kombe la dunia la VIVA | ||||||||
Kigezo:Country data Occitania Kombe la Dunia la VUVA 2006 | Hawakushiriki’’ | |||||||
Kigezo:Country data Sápmi Kombe la Dunia la VIVA 2008 | ||||||||
Kigezo:Country data Padania Kombe la Dunia la VIVA 2009 | ||||||||
Kigezo:Country data Gozo Kombe la Dunia la VIVA 2010 | ||||||||
Kigezo:Country data Kurdistan Kombe la Dunia la VIVA 2012 | Nafasi ya Tatu | 3 | 4 | 3 | 0 | 1 | 16 | 4 |
Kombe la Dunia la Mpira wa miguu la CONIFA | ||||||||
Kigezo:Country data Sapmi Kombe la Dunia la ConIFA 2014 | Walijitoa | |||||||
Kigezo:Country data Abkhazia Kombe la Dunia la ConIFA 2016 | Hawakushiriki’’’’ | |||||||
Kigezo:Country data Barawa Kombe la Dunia la ConIFA 2018 | ||||||||
Jumla | Nafasi ya Tatu | 3/10 | 13 | 6 | 4 | 3 | 28 | 19 |
Mataji
[hariri | hariri chanzo]Ukanda
[hariri | hariri chanzo]- Kombe la CECAFA
- Washindi (1): Kombe la CECAFA 1995
- Nafasi ya pili (1): Kombe la CECAFA 2017
- Nafasi ya Tatu (3): Kombe la CECAFA 2005, 2009, 2012
Mashindano yasiyotambulika na FIFA
[hariri | hariri chanzo]- Kombe la FIFI Wild
- Nafasi ya Pili (1): 2006
- Kombe la Dunia la Viva
- Nafasi ya Tatu (1): 2012
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ 1.0 1.1 "Zanzibar admitted as full member of African soccer body". indianexpress.com. Indian Express. 16 Machi 2017. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 17 Machi 2017. Iliwekwa mnamo 16 Machi 2017.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ 2.0 2.1 "Zanzibar loses Caf membership in embarrassing U-turn". bbc.com. British Broadcasting Corporation. 21 Julai 2017. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 23 Julai 2017. Iliwekwa mnamo 23 Julai 2017.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Huyu ndiye Ali Badru: Straika aliyekimbia vurugu Misri akiamini Simba itampeleka Ulaya". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-12-07.
- ↑ "Badru mchezaji bora wa Februari Ligi Kuu Zanzibar". mwanachi.co.tz. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2023-01-27. Iliwekwa mnamo 2023-01-27.