Nadir Haroub Ali

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Nadir Haroub Ali (alizaliwa Michenzani, Tanzania, tarehe 10 Februari 1982) ni mchezaji wa zamani wa kandanda aliichezea klabu ya Yanga Sc. Nafasi aliyocheza ni beki wa kati pia ni nahodha wa timu hiyo huku mchezaji huyu wanamfananisha na beki wa zamani wa Italia Fabio Cannavaro....

Katika timu ya taifa[hariri | hariri chanzo]

Nadir Haroub Ali ameichezea timu ya taifa ya Tanzania na kucheza mechi 55 na kufunga magoli manne mpaka mwaka 2016 Machi akaamua kustaafu soka la timu ya Taifa kutokana na kutolewa unahodha wa timu ya Taifa.

Kucheza soka la nje[hariri | hariri chanzo]

Kuanzia tarehe 13 Agosti 2009 Nadir Haroub alipelekwa kwa mkopo katika klabu ya nchini Kanada, Vancouver Whitecaps.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nadir Haroub Ali kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.