Syokimau
Mandhari
Syokimau ni mtaa wa kaunti ya Machakos, karibu kabisa na Nairobi, mji mkuu wa Kenya, eneo bunge la Mavoko.
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Syokimau kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |