Sokwe Mtu
Mandhari
(Elekezwa kutoka Sokwe mtu)
Sokwe Mtu | ||||||||||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Sokwe mtu wa kawaida (Pan troglodytes) katika bustani ya wanyama
| ||||||||||||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||||||||||
| ||||||||||||||||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||||||||||||||||
Spishi 2:
| ||||||||||||||||||||||||
Msambao wa (nusu)spishi za sokwe mtu: nyekundu - P. paniscus, buluu - P. t. schweinfurthii, zambarau - P.t. troglodytes, kijani - P.t. vellerosus, njano - P.t. verus.
|
Masokwe mtu ni wanyama wakubwa wa jenasi Pan katika familia Hominidae (masokwe wakubwa). Masokwe hawa wanaishi katika maeneo ya tropiki ya Afrika.
Spishi
[hariri | hariri chanzo]- Pan paniscus, Bonobo au Sokwe Mtu Mdogo (Bonobo au Pygmy Chimpanzee: Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo)
- Pan troglodytes, Sokwe Mtu wa Kawaida (Common Chimpanzee)
- Pan t. schweinfurthii, Sokwe Mtu Mashariki (Eastern Chimpanzee: Jamhuri ya Afrika ya Kati, Sudani, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Uganda, Rwanda, Burundi, Tanzania na Zambia)
- Pan t. troglodytes, Sokwe Mtu wa Kati (Central Chimpanzee: Kameruni, Jamhuri ya Afrika ya Kati, Ginekweta, Gaboni, Jamhuri ya Kongo na Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo)
- Pan t. vellerosus, Sokwe Mtu wa Nijeria (Nigerian Chimpanzee: Nijeria na Kameruni)
- Pan t. verus, Sokwe Mtu Magharibi (Western Chimpanzee: Senegali, Mali, Gine, Sierra Leone, Liberia, Kodivaa na Ghana)
Picha
[hariri | hariri chanzo]-
Sokwe mtu wa kawaida (jike na mtoto)
-
Bonobo (dume)
-
Bonobo (majike)