Ritriti

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kijana mmonaki wa Kibuddha katika chumba cha ritriti, Yerpa, Tibet in 1993
Mseminari akisali peke yake kanisani,Massachusetts, Marekani.

Ritriti (kutoka Kiingereza "Retreat") ni kipindi cha kujishughulisha na maisha ya Kiroho kwa kujitenga na kazi na mazingira ya kawaida.

Mara nyingi ritriti inaendana na kimya na saumu, ndiyo sababu inaitwa pia "mafungo".

Vipindi vya namna hiyo vinahimizwa katika dini mbalimbali, kama vile Uhindu, Ubuddha, Ukristo na Uislamu.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hii kama historia yake au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.