Mtumiaji:Kipala/Archive 9

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Archive Hii ni ukurasa wa Hifadhi ya Majadiliano ya Awali. Usihariri ukurasa huu usiongeze wala kupunguza kitu.
Ukitaka kujadiliana upya mambo yaliyomo humo nenda kwa ukurasa wa majadiliano ya sasa.

Image metadata

I obtained the permit to use some images from a blog by Chemi Che Mponda (an obviously well known TZ- blogger now living in US). She requested, however, some form of attribution to her as author. So I decided on Laiseni Huria ya Umma "Attribution 3.0 Unported" (Cretaive Commons). Now I am not sure if it is enough if anybody opening the image files sees that attribution or if I have to include it also in the caption of the image e.g. here http://sw.wikipedia.org/wiki/Manda_%28Ludewa%29. The image file is http://sw.wikipedia.org/wiki/Picha:Mbuyu_Manda_Wiedhafen_2009_Chemi_Che.jpg. Appreciate your advice. Kipala (majadiliano) 19:29, 14 Desemba 2010 (UTC)

Happy 10th anniversary to you! CC-SA 3.0 is a good license to choose. You simply need to include it in the metadata of the file on its own page. Additionally, if you move it to Wikimedia Commons others can use it on other languages and projects. Sj + 22:50, 5 Februari 2011 (UTC)

Abdi Abdallah

Can you look at this user's page (created after Wikimania ended) and perhaps help invite him to this wiki instead? http://wikimania2010.wikimedia.org/wiki/User:Abdi_M._Abdallah Sj + 22:58, 5 Februari 2011 (UTC)

Indiaujerumani ni adui zetu

http://indo-european.eu/wiki/index.php/Special:Contributions/MwenMas

Hi, Hello, Just keeping in touch

Hi, I hope everything is going well here at SW, I have been resting my eyes; I will keep in touch. Mr Accountable (majadiliano) 17:25, 27 Machi 2011 (UTC)

FB comment at WBRU: 'm in Fall River, any WBRU people know any Kiswahili? Maybe from Swahili 101? There sure is a dearth of contributors at Swahili Wikipedia. If you have any ability at all, please feel free to help out. Link = http://sw.wikipedia.org/wiki/Mwanzo ....... Be Bold etc. See User:Kipala or me User:Mr Accountable
Hi! The second message, what it's suppose to mean?--MwanaharakatiLonga 09:31, 28 Machi 2011 (UTC)
Nisipokosei na kama nasoma habari za en-wikipedia sawa, ameacha ujumbe kwenye redio au tovuti ya redio ya chuo kikuu cha alipokaribisha wanafunzi wengine wa nKiswahili kuchangia hapa kwetu. --Kipala (majadiliano) 11:16, 28 Machi 2011 (UTC)

Moab

Ndugu, naona umeandika ukurasa juu ya Moab baada ya mimi kuandika juu ya Wamoabu. Hata interwiki inalingana. Nadhani Moab ingeweza kubaki kuhusu mtoto wa Lut, na Wamoabu kuhusu wajukuu wake... Pia niliomba usogeze Norbert wa Xantes kwenda Norbert wa Xanten. Spelling ilikosewa kwa sababu nilianzia Orodha ya Watakatifu Wakristo iliyokuwa na kosa hilo. Asante na amani kwako huko uliko. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 10:22, 13 Juni 2011 (UTC)

Imetekelezwa yote. Isipokuwa naona afadhali "Moabu" kwa nchi ya kihistoria (naona ni kawaida vile penginepo) na tukitaka kuanzisha makala pekee juu ya mtoto wa Lutu basi tuanzishe Moabu (Biblia). Kipala (majadiliano) 13:29, 13 Juni 2011 (UTC)

Re: Msaada!!

Mzee Kipala, salam. Jaribu kutazama tena kama hivyo ndivyo ulivyotaka! Wako...--MwanaharakatiLonga 16:12, 25 Juni 2011 (UTC)

Malaika, nakupenda malaika!! Kipala (majadiliano) 16:20, 25 Juni 2011 (UTC)
Aha-ha-ha, Mzee Kipala. Niliwakimbia kidogo. Sasa nina internet nyumbani nadhani nitaweza kuchangia mawili matatu kwa wakati fulani!--MwanaharakatiLonga 16:25, 25 Juni 2011 (UTC)

Makala za mamalia

Kipala na Muddyb, salaam. Nawaandikia tena kuhusu rafiki yetu Mjanja. Ameanzisha makala nyingi kuhusu mamalia ambao hawatokei Afrika. Pengine naweza kukubali majina anayotumia, lakini kuna mengine ambayo ameyabuni kabisa au anayatumia kwa njia mbaya. Sidhani ni mzuri kama msemaji asiye mwenyeji anabuni majina mapya. Tafadhali hii ifanywe na wataalamu wa kienyeji. Majina nisiyoyakubali ni yafuatayo:

Mnajua wataalamu (wanazoolojia) ambao watakubali kubuni majina ya wanyama haya kwa Kiswahili? Zamani nimeandikia wanazoolojia katika Tanzania na Kenya, lakini hakuna mtu aliyejibu. ChriKo (majadiliano) 23:02, 20 Julai 2011 (UTC)

Mohamed ElGedawy → محمد الجداوي

Hi, I want to change my name from: "Mohamed ElGedawy" to: "محمد الجداوي", Because i have changed my username on many wikipedias.--Mohamed ElGedawy (majadiliano) 07:42, 14 Agosti 2011 (UTC)

Imefanyika. / Done. --Baba Tabita (majadiliano) 12:15, 14 Agosti 2011 (UTC)

GedawyBot

Hi sir. I made a request for bot flag here.--محمد الجداوي (majadiliano) 15:07, 28 Agosti 2011 (UTC)

Kosa dogo...

Jambo Kipala! Sijaona vizuri wakati mimi kuweka kwa kufuta ya ukurasa ya mtumiaji ya Mwali Ibrahim, nilifikiri ilikuwa ukurasa, na si yake majadiliano ya mtumiaji. Mimi kuomba msamaha kwa kile kilichotokea. Kazi nzuri! :) --Reder (majadiliano) 18:49, 8 Septemba 2011 (UTC)

Asante kwa ujumbe. Naona tumeelewana. Kipala (majadiliano) 20:49, 10 Septemba 2011 (UTC)
Hhmm, naona um-bora kwa kutia moyo. Jamaa anaonekana katumia mashine, lakini huku thubutu kumvunja moyo!--MwanaharakatiLonga 03:19, 11 Septemba 2011 (UTC)

Vigezo

Alexander the Great
Basileus of Macedon
Alexander fighting the Persian king Darius III. From Alexander Mosaic, Naples National Archaeological Museum
Jina kamiliAlexander III of Macedon
GreekΜέγας Ἀλέξανδροςiii[›] (Mégas Aléxandros, Great Alexander)
Ἀλέξανδρος ὁ Μέγας (Aléxandros ho Mégas, Alexander the Great)
Amezaliwa20 or 21 July 356 BC
Mahala pa kuzaliwaPella, Macedon
Amefariki10 or 11 June 323 BC (aged 32)
Wake
Parysatis II of Persia
MtotoAlexander IV of Macedon Alexander IV of Macedon
NasabaArgead dynasty
BabaPhilip II of Macedon
MamaOlympias of Epirus
Imani ya kidiniGreek polytheism

Jambo Kipala,

These aren't random templates, they are from Maalum:VigezoVinavyotakikana, so they are templates that are already in use but are redlinks.

The list falls into four main categories

1. Items from "All Messages" - which shouldn't necessarily be created.
2. Templates that are purely functional such as {{Str find}}
3. Templates which can't be found elsewhere
4. Templates that contain text.

Of course the templates that contain text need translating, they are really part of the task of translating an article, some of this I can help with, particularly the parts of navboxes that link to articles.

Example:

Longest UK rivers: 1. Severn 2. Thames 3. Trent 4. Great Ouse 5. Wye 6. Ure/Ouse 7. Tay 8. Spey 9. Clyde 10. Tweed 11. Avon 12. Nene 13. Eden 14. Dee

It should be possible to get the translation done fairly quickly as part of general maintenance, it's largely an odd sentence or two here and there. Let me know your thoughts (on sw: is fine - I have moved your original question here).

All the best. Rich Farmbrough

I should have included a fifth class, template documentation, this is a slightly different matter though. Rich Farmbrough
Did you happen to see what I did on a certain templates? I've got a plan to translate them, but not all. My ability and your ability are differ, i.e I can translate a single template by ten minutes - but you can import ten templates by ten minutes! So - it's very odd!! We, however, suggest to consult with the local admins for help, mate. Cheers!!!!!!--MwanaharakatiLonga 18:48, 16 Septemba 2011 (UTC)
Yes they look good. Rich Farmbrough
Great. I think these templates are scaffolding for building the enyclopedia. Of course actual article text is most important, and hardest to get. Ask me if you need any template help. Rich Farmbrough
OK, offer taken. Kindly do this one from simple:wikipedia. The samll line cut out if possible.

Template:Infobox_Monarch {{Mtawala | jina = Jina la kawaida | cheo = Mfalme – malkia – mtemi – kaisari – sultani wa n.k. | picha = [[Image:X.jpg|200px|maelezo ya picha]] | maelezo ya picha = Maelezo | tarehe za utawala = [[Siku - mwezi]] [[mwaka]] – [[siku . mwezi]] [[mwaka]] | kusimikwa = [[Siku - mwezi]] [[mwaka]] | vyeo vingine = vyeo vyake vingine | jina kamili = jina kamili kwa mfano kabla ya kupewa cheo chake | maumbo ya jina = (kama kuna namna mbalimbali kuandika jina lake mfano Karl, Carolus, Charlemagne | jina kienyeji 1 = | native_lang2 = | native_lang2_name1 = There are 8 sets of native_lang and native_lang_name, through... | native_lang8 = | native_lang8_name1 = | Mtangulizi = jina | aliyemfuata = Name & Wikilink | cheo cha mrithi teule = If you wish to use the heir field, then the type of heir is required, (Heir-Apparent/Heir-Presumptive) | mrithi = Name & Wikilink | malkia = Name & Wikilink
Name & Wikilink, etc. | mumewe = Name & Wikilink
Name & Wikilink, etc. | mke 1 = Name & Wikilink
Name & Wikilink, etc. (these are for the wives | mke 2 = Name & Wikilink
Name & Wikilink, etc. of male rulers for whom | mke 3 = Name & Wikilink
Name & Wikilink, etc. the term 'queen', | mke 4 = Name & Wikilink
Name & Wikilink, etc. 'consort' etc. is | mke 5 = Name & Wikilink
Name & Wikilink, etc. inappropriate, e.g. the | mke 6 = Name & Wikilink
Name & Wikilink, etc. wife of a Roman emperor whom he married and then divorced before | mke 7 = Name & Wikilink
Name & Wikilink, etc. ascending the throne) | mke 8 = Name & Wikilink
Name & Wikilink, etc. | mke 9 = Name & Wikilink
Name & Wikilink, etc. | mke 10 = Name & Wikilink
Name & Wikilink, etc. | watoto = Name & Wikilink
Name & Wikilink, etc. | familia ya = House of X & Wikilink | nasaba = X dynasty & Wikilink (for those where 'dynasty' and not 'house' is the correct nomenclature e.g. Roman emperors) | royal anthem = Name & Wikilink | Baba = Name & Wikilink | Mama = Name & Wikilink | Tarehe ya kuzaliwa = (use templates; see below) | Mahali pa kuzaliwa = Name & Wikilink | Tarehe ya kufariki = D Month, YYYY | Mahali pa kufariki = Name & Wikilink | Tarehe ya mazishi = D Month, YYYY | Mahali pa mazishi = Name & Wikilink }} Kipala (majadiliano) 15:05, 17 Septemba 2011 (UTC)

OK I made a start :) see the example above. Rich Farmbrough
Tnaks a lot but it does not yet work 100 % please see http://sw.wikipedia.org/wiki/William_I_wa_Uingereza. Kipala (majadiliano) 09:54, 18 Septemba 2011 (UTC)
The indefatigable Muddy has completed the translation. Face-smile.svg (Though I could have done Baba and Mama fairly easily.) Rich Farmbrough
Rich, you're so funny! It was more than Baba na Mama, mate. However, thanks for your implementation!--MwanaharakatiLonga 04:12, 19 Septemba 2011 (UTC)
Thanks for all efforts! But the template does not work yet very well. Look at Aleksander Mashuhuri, some details I put into it do not show up yet. Besides it really is pretty complicated to work, but that is the English template. Kipala (majadiliano) 08:04, 19 Septemba 2011 (UTC)
Ok, fixed. Well everything I could see. The idea is to keep the templates simple to use, even if the templates have to be more complicated. For example supporting the English and Swahili parameter names at the same time is not hard, and people need less technical skill to just translate the values. If required it is possible to think about translating all the parameter names automatically. :) Rich Farmbrough

Msaada wa kuchungulia, kukosoa, na kutoa maoni juu ya makala: Kampeni za Kivita katika Afrika ya Mashariki (Vita ya Kwanza ya Dunia)

Mzee wangu salam, bwana nimetafsiri hiyo makala hapo juu. LAKINI nimeona afadhali unisaidie maarifa ya jina na hata kusawazisha makala yenyewe! Nitashukuru nikipata msaada huo, mzee wangu! Wako,--MwanaharakatiLonga 16:55, 17 Septemba 2011 (UTC)

HAya nimejitahidi kidogo. Kipala (majadiliano) 21:47, 17 Septemba 2011 (UTC)
Bwana Kipala, ile si kidogo bwana. Nimeipenda vya kutosha. Je, siku nyingine nije tena? Au ndiyo basi tena!--MwanaharakatiLonga 11:14, 18 Septemba 2011 (UTC)

Bwana Kipala, nakubali title ya makala iitwayo Christopher Richard Mwashinga ibadilishwe title ili ifuate utaratibu wa wikipedia. Kwa hiyo naomba uondoe jina la katikati, yaani "Richard" ibakie Christopher Mwashinga. Ahsante kwa msaada wako. Richie Matadi

Souahélie ?

Bonsoir Kipala,
Merci pour votre réponse ce soir sur ma page de discussion sur les question de dénomination de votre langue, de N'Gozi et de l'Empire d'Ozi. Je les ai traduites et transposées. Nos spécialistes apprécieront certainement.
Je vous précise également que vous m'avez fait découvrir la graphie "souahélie" que j'ignorais totalement jusqu'ici. Asante sana. Hop ! [[Utilisateur:Kikuyu3|Kikuyu3]] [[Discussion utilisateur:Kikuyu3|Sous l'Arbre à palabres]] (majadiliano) 21:09, 10 Desemba 2011 (UTC)
PS : je vous réponds en français, d'une part parce que je ne parle pas un traître mot de votre langue, et d'autre part parce que je vois sur votre page personnelle qu'il faut vous entraîner.

Makala za Wabunge wa Tanzania

Kuhusu kuingiza habari za miaka ya ubunge kwa kila mbunge: Inaonekana ni lazima kutumia tovuti rasmi ya Bunge la Tanzania. Sasa, sioni njia kuingiza habari hizo automatically :( - au una wazo lingine? Wasalaam, --Baba Tabita (majadiliano) 10:29, 20 Desemba 2011 (UTC)

Mafuriko Tanzania Jamani eeeh!!!!!

Kipala salam, wenzenu huku mjini Dar es Salaam na baadhi ya mikoa ya Tanzania tuna hali mbaya vibaya mno. Kuna mvua inaendelea kunyesha kwa kasi ya ajabu na mafuriko hadi sasa yauwa na kuharibu majumba kibao hakuna mfano. Chakusikitisha, bado haijasimama. Inaendelea kuleta ladha ya vifo kwa wakazi wa Tanzania. Mtuombeee huko!!!! Wenu!--MwanaharakatiLonga 06:06, 22 Desemba 2011 (UTC)

blocking Ian Streeter

Salaam, Kipala! Naomba uangalie wikipedia ya Kiingereza ambapo Ian Streeter ameblockiwa milele http://en.wikipedia.org/wiki/User_talk:Ian_Streeter - labda tuongeze muda wake hata hapa kabla hajaingiza fujo zaidi. Wasalaam, --Baba Tabita (majadiliano) 08:29, 24 Desemba 2011 (UTC)

Biological diversity

Kipala salaam. Natumaini kwamba umeshinda Krismasi nzuri. Tafadhali nahitaji msaada wako ili kupata tafsiri muafaka ya "biological diversity". Unaweza kunisaidia? Asante. ChriKo (majadiliano) 09:20, 27 Desemba 2011 (UTC)

Help !

Hello Kipala, I am a new member on this wikipedia and I don't really speak Kiswahili. However, I would like to contribute on articles concerning West Africa. (In a first time on Côte d'Ivoire). I created this sandbox page to receive the drafts of my articles. Could you spend à little moment to read them before their publication ? In advance, thank you. Sincerely yours, --Zenman (majadiliano) 12:44, 7 Januari 2012 (UTC)

Thanks a lot for your quick reply and your advices on my page. For helping with templates or stubs, I'm ok. Show me some, please, and I'll try ... until I improve my Swahili, to be more useful :). Best regards,--Zenman (majadiliano) 05:20, 8 Januari 2012 (UTC)
I've tried something...--Zenman (majadiliano) 17:41, 8 Januari 2012 (UTC)

Mikoa

Mzee Kipala, Subalkheri ! I started a first article of Mikoa ya Cote d'Ivoire and I would like you to correct it or (much better) give me, if possible, a "template" of this kind of stub.

Asante. Asubuhi njema.--Zenman (majadiliano) 07:55, 20 Januari 2012 (UTC)

Moving Forward

Subalkheri !

Following this discussion with Mwanaharakat, here's my... "list"!

But first of all, I would like to thank you very much for your warm welcome and your constant support, despite my "linguistic handicap".

1. About the Côte d’Ivoire Project, I think I will able to write, almost all articles on the Orodha listed on the project page.
2. However, it seems - for now - impossible for me, to write the key articles (Elimu nchini Cote d'Ivoire (en), Historia ya Cote d'Ivoire (en), Utamaduni wa Cote d'Ivoire (en), Jiografia ya Cote d'Ivoire (en), Siasa ya Cote d'Ivoire (en), Uchumi wa Cote d'Ivoire (en), Usafiri wa Cote d'Ivoire...) If you can help write a few on them, we could have good coverage of this country and we might even create their portal…
3. A page of Orodha creates numerous (too many) red links. I want to work on them. But I would need some templates of stubs. As we did with the wilaya and Mikoa.
4. In general, I started working on the Côte d’Ivoire project and I wish continue on other countries of West Africa. But, please, consider this, not as a prison but rather as a starting option, so feel free to point me to the work that you think are most useful for the encyclopedia. If I can help, I will.

Kwa heri ya kuonana !--Zenman [Majadiliano] 11:25, 12 Februari 2012 (UTC)

Majina ya wanyama

Kipala salaam. Juzi juzi niliandikia Baraza la Kiswahili la Taifa nakawaonyesha tafsiri fulani ambazo niliona ni za ajabu au hata siyo sahihi. Niliwauliza wanipatie mapendekezo yao. Leo nimepokea jibu lao. Angalia mapendekezo:

• Sloth – sloti/kungupole
• Platypus – Kinyamadege (Muhanga/Fuko)
• Anteater – Pangolini/nagha
• Echidna – Kakakuona/Mhanganungu
• Horseshona carb – njumu kabureta
• Skunk – Kicheche/nyegere
• Beaner – Panyabuku/nguchiro
• Gila Monster – Dubwanagila
• Tasmanian tiger – Chui wa Tasmania
• Marten – Konje/kala/njuzi

Hata hapa majina kadhaa ni ya ajabu. Kungupole ni nini: a slow Indian almond? Sifahamu kwa nini wanapendekeza "kakakuona" kama jina la echidna. Kamusi zote zinakubali kwamba hili ni jina la pangolin. Nafikiri hawajui maana ya anteater. Huyu si pangolini au kakakuona (ni scaly anteater). Anteater kwa kifupi ni mnyama wa Amerika wenye manyoya marefu na pua refu sana. Lakini nilishangaa kabisa kwa kuona tafsiri ya horseshoe crab. Hata wameandika vibaya, kwa hivyo hawakufahamu kitu cho chote. Nikijaribu kutafsiri kutoka Kiswahili, ninapata kitu kama "horseshoe carburetor". Ningependa kupokea maona yako. ChriKo (majadiliano) 22:18, 1 Machi 2012 (UTC)

Salaam ChriKo ninaogopa umesema ukweli. Yaani watu wanaoshughulika utunzi wa msamiati wa Kiswahili mara nyingi wanafanya kazi ya juujuu, ama wanakosa ujuzi au hawana muda au hakuna anayejali. Niliona yaleyale kuhusu majina ya sayari. Sasa tufanya nini? Hali halisi tunaingia katika mambo ambayo kwa kawaida ni mwiko katika Wikipedia: yaani kuchagua maneno n.k. (inayoitwa penginepo]]. Hali halisi sioni njia ya kuepukana nayo kabisa. Nikiwa Mluteri nakumbuka ushauri wa Luther "Pecca fortiter" (kwa maana: "kama unahitaji kufanya kazi na mbele yako unaona pekee njia zenye dhambi ama kwa kutenda au kwa kuacha basi upime moyo wako mbele ya Mungu wako halafu uwe hodari kufanya dhambi inayofaa!"). Lakini tutumie akili na upole na tuepukane nayo iwezekanavyo.
Naona hatua zifuatazo:
• kutumia redirect (horseshoe crab; kaa ya horseshoe, kaa njumu, njumu kabureta)
• kutaja maana mbalimbali juu kwenye kichwa cha makala
• labda hata kuchagua Kiingereza kama jina kuu? (yyani si mnyama wa Afrika)
• kuweka maelezo kama tanbihi chini kwenye ukurasa kueleza matatizo ya kuchagua jina
• kutumia kigezo la jaribio (Kigezo:Jaribio)
Kipala (majadiliano) 08:40, 7 Machi 2012 (UTC)
Asante Kipala. Nafikiri kwamba ushauri wako una busara. Napenda sana "pecca fortiter" ya Luther (ninafanya hivyo mara kwa mara), lakini nakubali na wewe kwamba ni bora tujali. Si kazi yetu kubuni maneno. Hata hivyo hatuwezi kuiepuka kila mara. Hatua ninayoistahabu ni kutumia kigezo cha jaribio katika kurasa za wanyama wa Afrika. Ikiwa ukurasa unahusu mnyama asiyetokea Afrika tutumie jina la Kiingereza au la lugha ya nchi ya asili au kinyambuo. ChriKo (majadiliano) 22:57, 7 Machi 2012 (UTC)

mtumiaji:68.3.67.81

Salaam, yule bwana nimempiga mkwara tu ajiandikishe. Anaandika makala mbegu bila jina. Anajitahidi kwa-kweli. LAKINI si unajua tunapenda kuona majina ya wachangiaji wenzetu? Angalau tungeweza kumshauri jambo moja mbili. Ninafahamu fika yule bwana si Mswahili, ila tu, anapenda kuchangia hapa! Ninamkaribisha kwa mikono miwili, lakini akubali kujisajili kwanza. Unaonaje?--MwanaharakatiLonga 06:03, 16 Mei 2012 (UTC)

Asante nimekuelewa sasa. Ninakubali - ila tu hapa kuna swali la siasa. Yaani siasa ya wikipedia juu ya kukubali wachangiaji wasiojiandikisha. Mimi mwenyewe ningependelea kuwaruhusu wachangiaji pekee waliojiandikisha kwa kuandika na kuhariri. Lakini siasa ya wikipedia kwa jumla ilikuwa wazi: kila mtu achangie. Nimeona ya kwamba sasa wikipedia kadhaa zimeendelea kubana kiwango hiki cha uhuru kiasi; lakini hadi sasa kuna mavutano (siasa, sivyo?) juu ya kiasi. (hapa majadiliano marefu [1]).
Kifupi: Rafiki yetu 68.3.67.81 anafanya kazi ndani ya upeo wa kanuni zetu. Tusipobadilisha kanuni tunaweza kumwomba tu. Kipala (majadiliano) 06:22, 17 Mei 2012 (UTC)
Na ndiyo maana nikalileta jambo hili kwa mkubwa wa kazi. Ningejuaje? Angalau nina-jambo la kusema. Basi sawa. Lakini nahisi kama tayari kajiandikisha!--MwanaharakatiLonga 06:45, 17 Mei 2012 (UTC)

Kiwix

Jibu kwa ombi lako ukurasani mwa majadiliano yangu: Je, umeangalia maelezo hapa? Nadhani utakuta kila kitu humo. Wasalaam, --Baba Tabita (majadiliano) 15:50, 10 Novemba 2012 (UTC)

Bora umuulize Limoke Oscar mwenyewe. Alikuwepo shuleni walipoiweka Kiwix mtandaoni; mimi sijawahi hata kuiona ikiwekwa mtandaoni. Wasalaam, --Baba Tabita (majadiliano) 14:47, 12 Novemba 2012 (UTC)
Badilisha maamuzi kwa kumuuliza moja kwa moja kupitia email yake. Oliver anayo - Limoke sidhani kama anakuja sana Wikipedia ya Kiswahili. Wasalaam!--MwanaharakatiLonga 09:44, 13 Novemba 2012 (UTC)

Djokovich

Thank you very much for your help on this page Kipala :) --Soundwaweserb (majadiliano) 10:36, 3 Desemba 2012 (UTC)

Reply from Meta

Hi. Answering your message, I inform you that to do such a change, you need to first gauge consensus here at sw.wikipedia for that and once the community agrees with that, you need to fill a ticket in Bugzilla under Wikimedia --> Site configurations. While it is possible to block unregistered users to add new entries I bet that they won't let you completly disable anonymous users from editting. Either way, the settings that needs to be changed are as follows:

'eswikibooks' => array(
'*'	 => array( 'createpage' => false, 'createtalk' => false, 'edit' => false, ),

If you wish me to submit the ticket on your behalf, please leave me a message and I'll assist. But it may take a few days since I'm having health issues right now.

Best regards. --MarcoAurelio (majadiliano) 15:58, 5 Desemba 2012 (UTC)

Thank you very much for the fast reply. Yes, we have taken a vote (http://sw.wikipedia.org/wiki/Wikipedia:Jumuia#Pendekezo:_Utaratibu_wa_kuanzisha_makala) , 5 participating, 4 in favor, one half/half. That is a good participation for the present state of our wikipedia. As for the editing: we take what we can get. With our small number of steady people and the growing number of nettiquette-free users, who just pop in and leave all kind of comments on article spaces any change will help. Yes, I would deeply appreciate if you help to file that ticket. And: get healthy first! I wish you a speedy recovery. I post this on Meta and sw and please answer to sw. Kipala (majadiliano) 19:08, 5 Desemba 2012 (UTC)
Done in bugzilla:42894. Best regards. --MarcoAurelio (majadiliano) 10:58, 9 Desemba 2012 (UTC)

Article requests

Hi! Do you do article requests in Swahili? There are some Canada-related topics that should have some articles in Swahili. Thank you WhisperToMe (majadiliano) 22:15, 16 Desemba 2012 (UTC)

What are you asking for? Kipala (majadiliano) 20:39, 19 Desemba 2012 (UTC)
I would like for Swahili versions of any of these Canadian topics:
In addition, here are some topics related to Kenya and Comoros if you want to try some of these
All I am asking for are short stubs, so if you want to start stubs, that would be fine :) WhisperToMe (majadiliano) 22:09, 23 Desemba 2012 (UTC)

Ahsante

Salaam, ahsante kwa juhudi zako kwenye sw.wiki. Endelea vivyo hivyo! Abbasjnr (majadiliano) 07:05, 5 Januari 2013 (UTC)