Mtumiaji:Zenman/Sanduku la mchanga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Ukurasa wa majiribio kwa ajili ya makala za vitengo vya Cote d'Ivoire

Use list Orodha ya majimbo ya Cote d'Ivoire and create stubs for departement (wilaya). It would be good to add the mkoa (region) behind each wilaya.


Looks good! Just for the locations: in those cases I would go for kusini-mashariki instead of kusini (taz. Dira#Mielekeo ya Dira; you can use those plus "kitovu cha nchi" for central positions). Cheers Kipala (majadiliano) 09:48, 9 Januari 2012 (UTC)

Thanks a lot.--Zenman (majadiliano) 01:12, 10 Januari 2012 (UTC)


Mkoa wa Agnéby[hariri | hariri chanzo]

Mkoa wa Agnéby
Mahali paMkoa wa Agnéby
Mahali paMkoa wa Agnéby
Mahali pa Mkoa wa Agnéby katika Cote d'Ivoire
Majiranukta: 05°56′N 04°13′W / 5.933°N 4.217°W / 5.933; -4.217
Nchi Bendera ya Côte d'Ivoire Côte d'Ivoire
Wilaya 4
Mji mkuu Agboville
Eneo
 - Jumla 9,093 km²
Idadi ya wakazi (1998)
 - Wakazi kwa ujumla 525,211
GMT (UTC+0)
[1]

Mkoa wa Agnéby (far.: Région de l'Agnéby) ni moja kati ya mikoa 19 za nchini Cote d'Ivoire. Iko katika kusini-mashariki ya nchi. Mwaka 1998 idadi ya wakazi ilikuwa watu 525.211. [2]

Kuna wilaya 4 ambazo ni

Makao makuu yako Agboville.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Ivory Coast Cities Longitude & Latitude". sphereinfo.com. Iliwekwa mnamo 18 November 2010.  Check date values in: |accessdate= (help)
  2. Namba za sensa ya mwaka 1998 kufuatana na
That is ok. Remember interwiki. You could add from French wiki "Autres villes: Afféry Diangobo" (Miji migine.....), and from German info on ethnic groups : "Ethnien in der Region sind die Attié und die Abé." (Kati ya makabila ya mkoa ni Waattie na Waabe ) Kipala (majadiliano) 22:20, 20 Januari 2012 (UTC)


Jamii vya vigezo[hariri | hariri chanzo]

Orodha ya miji ya Cote d'Ivoire[hariri | hariri chanzo]


Orodha ya Hifadhi za Taifa nchini Côte d'Ivoire[hariri | hariri chanzo]

maeneo ya hifadhi katika 2008

Hii ni orodha ya Mbuga za Taifa ya Cote d'Ivoire:[1]

Mbuga za Taifa Kifaransa Mkoa Tovuti
Hifadhi ya Banco Parc national du Banco Lagunes (Abidjan)
Hifadhi ya Comoé Parc national de la Comoé Zanzan (Bondoukou)
Hifadhi ya visiwa vya Ehotilés Parc national des Îles Ehotilés Sud-Comoé (Aboisso)
Hifadhi ya Marahoué Parc national de la Marahoué Marahoué (Bouaflé)
Hifadhi ya Mlima Péko Parc national du Mont Péko Moyen-Cavally (Guiglo)
Hifadhi ya Mlima Sângbé Parc national du Mont Sângbé Montagnes (Man)
  1. *World Institute for Nature and Environment (Kiingereza)