Nenda kwa yaliyomo

Mihang'o

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mihang'o ni kata ya Nairobi, mji mkuu wa Kenya, katika eneo bunge la Embakasi Mashariki.