7 Mei
Mandhari
(Elekezwa kutoka Mei 7)
Apr - Mei - Jun | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 7 Mei ni siku ya 127 ya mwaka (ya 128 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 238.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]- 1342 - Uchaguzi wa Papa Klementi VI
Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1711 - David Hume, mwanafalsafa wa Uskoti
- 1833 - Johannes Brahms, mtunzi wa muziki kutoka Ujerumani
- 1840 - Pyotr Ilyich Tchaikovsky, mtunzi wa muziki kutoka Urusi
- 1861 - Rabindranath Tagore, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1913
- 1867 - Wladyslaw Reymont, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1924
- 1892- Archibald MacLeish, mshairi kutoka Marekani
- 1939 - Sidney Altman, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1989
- 1967 - Fuya Godwin Kimbita, mwanasiasa wa Tanzania
- 1968 - Traci Lords
- 1976 - Carrie Henn, mwigizaji kutoka Marekani
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 1998 - Allan Cormack, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1979
- 2011 - Willard Boyle, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 2009
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]- Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Domitila, Flavi na wenzake, Seneriko, Yohane wa Beverley, Antoni wa Kiev, Rosa Venerini, Augustino Roscelli n.k.
- Tarehe 7 Mei kwa Waorthodoksi ni sikukuu ya mtakatifu Nil Sorsky.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- BBC: On This Day
- On this day in Canada Archived 2012-12-08 at Archive.today
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 7 Mei kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |