Willard Boyle

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Tuzo Nobel.png
Willard Boyle

Willard Sterling Boyle (19 Agosti, 1924 - 7 Mei, 2011) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Kanada aliyepata uraia wa Marekani pia. Hasa amechunguza vipitishi vya umeme. Mwaka wa 2009, pamoja na Charles Kao na George E. Smith, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Tuzo Nobel.png Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Willard Boyle kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.