Charles Kao

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Charles Kao

Sir Charles Kuen Kao (amezaliwa 4 Novemba, 1933 mjini Hong Kong) ni mwanafizikia aliye na uraia wa nchi mbili, Marekani na Uingereza. Hasa amechunguza mawasiliano kupitia nuru. Mwaka wa 2009, pamoja na Willard Boyle na George E. Smith, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia. Mwaka wa 2010 alipewa cheo cha "Sir" cha Uingereza.

Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Charles Kao kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.