Nenda kwa yaliyomo

Maksai aktiki

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Maksai maski)
Maksai aktiki

Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Mamalia (Wanyama wenye viwele wanaonyonyesha wadogo wao)
Oda: Artiodactyla (Wanyama wenye vidole viwili au vinne mguuni)
Nusuoda: Ruminantia (Wanyama wanaocheua)
Familia: Bovidae (Wanyama walio na mnasaba na ng'ombe)
J. E. Gray, 1821
Nusufamilia: Caprinae (Wanyama wanaofanana na mbuzi)
Jenasi: Ovibos (Maksai aktiki)
de Blainville, 1816
Spishi: O. moschatus
(Zimmermann, 1780)
Msambao wa maksai aktiki: nyeusi - msambao wa kienyeji, nyekundu - miwasilisho.
Msambao wa maksai aktiki: nyeusi - msambao wa kienyeji, nyekundu - miwasilisho.

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Maksai aktiki (pia huitwa Maksai maski kutoka jina la Kiingereza "muskox"; Kisayansi: Ovibos moschatus) ni mnyama wa Aktiki wa jenasi Ovibos mwenye manyoya mengi na harufu ya maski. Maksai aktiki wanaishi maeneo ya Aktiki ya Kanada na Grinlandi, na pia nchini mwa Uswidi, Siberia na Norwe.

Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Maksai aktiki kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Ili kupata maelezo kuhusu masanduku ya uanapwa ya spishi angalia: Wikipedia:WikiProject Mammals/Article templates/doc.