Majadiliano ya mtumiaji:Edward ambele

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Karibu kwenye Wikipedia kwa Kiswahili!

Tunamfurahia kila mmoja anayeingia na kuungana nasi. Hii ni kamusi elezo ya maandishi huru. Unaweza kuandika makala uipendayo ama kuitafsiri kutoka Wikipedia ya lugha nyingine.

Ukipenda kutumia kurasa zetu za mwongozo na msaada, a) ukitumia simu bofya kwa "Dawati" chini kwenye dirisha lako na n) ubadilishe mwonekano wa Wikipedia kwa kubofya "Switch to old look" kwenye menyu upande wa kushoto.

Kwa mawili matatu labda tazama:

Jisikie huru kuuliza swali lolote lihusianalo na Wikipedia hii. Karibu kujitambulisha kwenye "Ukurasa wa mtumiaji". Ukitaka kupata kwanza uzoefu wa kuweza kuhariri Wikipedia, tafadhali tumia ukurasa wako kwa majaribio. Humo unaruhusiwa kujipatia uzoefu wa uundaji wa makala za Wikipedia! Juu yako mwenyewe uandike tu kwenye ukurasa wako wa mtumiaji. Humo uko huru kutangaza chochote upendacho, kama si biashara au matusi.

Ujue miiko:

Tunakushauri pia kuandikisha email yako; haitaonekana na wengine lakini wataweza kukuandikia kupitia mfumo wa Wikipedia. Karibu sana!


Welcome to Kiswahili Wikipedia!

We welcome you even if you don't speak Kiswahili. For a bot flag go to this site. If you try to edit entries as a non-speaker, it is better to first communicate with one of our admins who can advise you. You may find them at Wikipedia:Wakabidhi. And, please:

  • do not post computer translated texts (like Google Translate, Content Translation, etc. all do not work for Swahili)
  • nor copied texts/images from other webs to this site!
  • do not use links to commercial pages, never post anything that looks like advertising.

As a newcomer we advise that you register your email. This will not be visible to others but it allows us to notify you, which often is helpful in case of problems.

Idd ninga (majadiliano) 11:50, 13 Julai 2021 (UTC)[jibu]

Kuhusu Uhariri[hariri chanzo]

Salamu Edward, hongera kwa kuanzisha makala katika Wikipedia ya Kiswahili, napenda kukumbusha kuwa hebu pitia makala hii hapa https://sw.wikipedia.org/wiki/Nicola_Formby ni makala ambayo haipo katika muundo mzuri na inaonekana kuwepo dalili ya kutumia machine za kutafsiri katika makala hii, hivyo ni bora kuendelea kuboresha makala ulizoandika leo pamoja na kusoma namna ya kuanzisha makala kabla ya kuendelea na kuanzisha makalal mpya , Amani Sana Idd ninga (majadiliano) 20:52, 27 Oktoba 2021 (UTC)[jibu]

Taarifa ya kukuzuia!

Ndugu, imenibidi kukuzuia kwa sababu zinazotajwa chini. Wakati unapokuwa umezuiwa huwezi kuhariri isipokuwa penye huu ukurasa wako wa majadiliano. Unaweza kunijibu kwa kutumia “Email this user”.

Sababu ni kuwa umeingiza matini iliyopatikana kwa njia ya tafsiri ya kompyuta ikiwa na kasoro nzito ya lugha. Umearifiwa kwamba ni marufuku kumwaga matokeo ya google translate katika makala zetu. Wachangiaji wanaopuuza utaratibu huu wanasababisha hasara kubwa kwa Wikipedia yetu na kuwapa wengine kazi kubwa mno ya kusafisha makosa yao.

Bila shaka una nia nzuri kuchangia katika Wikipedia. Tutafurahi kushirikiana nawe lakini ni lazima ufuate utaratibu. Kazi yetu kama wakabidhi ni kulinda mradi huu.

Ukiwa tayari kufuata utaratibu pamoja na kupitia upya matini ulizozileta tayari, naomba uwasiliane nami kwa kufungua ukurasa wangu (bofya jina langu chini) na kuniandikia baruapepe kwa kubofya “Email this user” upande wa kushoto. Hapo nitaweza kukuruhusu tena. Hapo lazima uwezeshe njia kwa kufuata maelezo katika Wikipedia:Email.

Idd ninga (majadiliano) 17:42, 29 Oktoba 2021 (UTC)[jibu]

kaka habari ningeomba radhi kwakutumiya maneno ya mtandao samahani kaka naomba niendelee na majadilliyano Edward ambele (majadiliano) 08:11, 30 Oktoba 2021 (UTC)[jibu]
namba nifunguliwe kuhendeleya na makala Edward ambele (majadiliano) 08:12, 30 Oktoba 2021 (UTC)[jibu]
Salamu sana!hongera kwa kuendelea kuhariri Umeomba kufunguliwa lakini bado unaendelea na mtindo ule ule wa mwanzo embu pitia makala zako vizuri kabla ujachapisha. amani kwako Hussein m mmbaga (majadiliano) 14:21, 26 Aprili 2022 (UTC)[jibu]

Kuhusu Zuio[hariri chanzo]

Salamu, tafadhali pitia katika makala hii hapa https://sw.wikipedia.org/wiki/Daphne_Courtney kuna dalili ya kutumika tafsiri ya kompyuta na pia maneno yamefanyiwa copy na kupaste moja kwa moja bila kwenda kufungua kurasa ya edit katika wikipedia ya kiingereza tafadhali tazama tena namna ya kuanzisha makala, pia typing error zinaonekana kuwa nyingi katika makala hiyo na makala hii hapa https://sw.wikipedia.org/wiki/Daphney_Hlomuka ,Amani sana Idd ninga (majadiliano) 17:42, 29 Oktoba 2021 (UTC)[jibu]

Tafsiri[hariri chanzo]

Salamu, unaonekana bado unaendelea kuleta tafsiri ya Kompyuta katika makala unazoanzisha, mfano ni makala hii hapa https://sw.wikipedia.org/wiki/Dany_Silva , pia makala hiyo katika Kiingereza ilikuwa na vyanzo lakini ulipoitafsiri haikuwa na chanzo hata kimoja, fanyia marekebisho kabla ya kuendelea na makala nyingine, Amani Sana Idd ninga (majadiliano) 21:54, 23 Aprili 2022 (UTC)[jibu]

Pitia pia katika makala hii hapa https://sw.wikipedia.org/wiki/Antonio_travadinha , kumbuka usilete makala nyingi zisofuata utaratibu wa uandishi, zingatia sana hilo Amani sana Idd ninga (majadiliano) 22:10, 23 Aprili 2022 (UTC)[jibu]

Katika makala zako unazotafsiri katika kiingereza zinakuwa na vyanzo lakini unapoleta katika Kiswahili unaondoa vyanzo hivyo, inaonekana kwamba unacopy maneno ya kiingereza bila kufungua kitufe cha EDIT,ili kuanzisha makala, nenda katika makala ya kiingereza na ufungue neno EDIT kisha copy maneno yaliyopo ndani ya makala hiyo na kisha uje kupaste katika makala unayotaka kuanzisha,alama zinazoanziwa na [1] ndani yake ndipo kuna vyanzo,usifute wala kubadili kitu,Amani sana Idd ninga (majadiliano) 09:45, 25 Aprili 2022 (UTC)[jibu]

Makosa kujirudia bado[hariri chanzo]

Ndugu, uwe makini zaidi. Unatunga kurasa ambazo zipo tayari (kwa sababu hutafsiri musician kuwa mwanamuziki), unaweka jamii zenye makosa, kama vile: Watu wanaoishi badala ya Watu walio hai, unatumia vyanzo vya Wikipedia ya Kiingereza n.k. Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 11:20, 3 Mei 2022 (UTC)[jibu]

Kwa kuwa unazidi kutumia tanbihi za en.wikipedia nakusimamisha kwa siku moja. Pole. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 10:13, 4 Mei 2022 (UTC)[jibu]
Ndugu, mbona husikii? Unataka nikuzuie tena? Sasa futa mwenyewe tanbihi zote za en.wikipedia katika makala zako za sw.wikipedia. Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 06:38, 15 Mei 2022 (UTC)[jibu]
Naona ndugu umekua mgumu kusikia maelekezo, sasa utapewa likizo mpaka hapa utakapo jirekebisha. -- Olimasy (majadiliano)
Habari ndugu Naomba radhi sana nitafanya maboresho katika makala zangu nilizofanya Tafadhali naomba kufunguliwa. -- Edward ambele(majadiliaano)11:26 16 september 2022 (UTC)
Embu tizama mtiririko huu wa maonyo kisha jitathimini. Tutakuwa tunakuangalia. Olimasy (majadiliano)
habari kaka najaribu kuwariri makala najibiwa nimefungiwa mpaka sikuyakesho bado sijatambuwa tatizo ni nini mpaka sasa ningeomba usaidizi kwailo.--ambele (majadiliano)'
Ip 220.33.194, #2373.--ambele (majadiliano)'
Nakusimamisha tena siku moja. Angalia ubovu wa ukurasa wako wa mwisho. Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 15:01, 27 Septemba 2022 (UTC)[jibu]
Karibu tena. Ukurasa juu ya Samuel N. Alexander si mbaya, lakini angalia nilivyousahihisha. Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 10:37, 29 Septemba 2022 (UTC)[jibu]
Asante. kwarekebisho, Amani kwako! --Edward ambele (majadiliano)2:13, 29 septemba 20222 (UTC) [reply] Edward ambele (majadiliano) 11:14, 29 Septemba 2022 (UTC)[jibu]

Unazuiwa[hariri chanzo]

Taarifa ya kukuzuia!

Ndugu, imenibidi kukuzuia kwa sababu zinazotajwa chini. Wakati unapokuwa umezuiwa huwezi kuhariri isipokuwa penye huu ukurasa wako wa majadiliano. Unaweza kunijibu kwa kutumia “Email this user”.

Sababu ni kuwa umeingiza matini iliyopatikana kwa njia ya tafsiri ya kompyuta ikiwa na kasoro nzito ya lugha. Umearifiwa kwamba ni marufuku kumwaga matokeo ya google translate katika makala zetu. Wachangiaji wanaopuuza utaratibu huu wanasababisha hasara kubwa kwa Wikipedia yetu na kuwapa wengine kazi kubwa mno ya kusafisha makosa yao.

Bila shaka una nia nzuri kuchangia katika Wikipedia. Tutafurahi kushirikiana nawe lakini ni lazima ufuate utaratibu. Kazi yetu kama wakabidhi ni kulinda mradi huu.

Ukiwa tayari kufuata utaratibu pamoja na kupitia upya matini ulizozileta tayari, naomba uwasiliane nami kwa kufungua ukurasa wangu (bofya jina langu chini) na kuniandikia baruapepe kwa kubofya “Email this user” upande wa kushoto. Hapo nitaweza kukuruhusu tena. Hapo lazima uwezeshe njia kwa kufuata maelezo katika Wikipedia:Email.

Kipala (majadiliano) 19:35, 19 Oktoba 2022 (UTC)[jibu]

Habari naomba radhi kwakuleta makala zisizo sahihi kuna maneno ambayo yalinishinda nikatumiya tafsiri naomba kuwa mwalimu wawengine kiuhusu hili bilashaka utapokeya ombilangu. Edward ambele (majadiliano) 05:13, 20 Oktoba 2022 (UTC)[jibu]
Ip 197.250.230.107 uzuio # 2408 Edward ambele (majadiliano) 05:16, 20 Oktoba 2022 (UTC)[jibu]
Naomba radhi nitafanya vema katika kazi zangu. Edward ambele (majadiliano) 05:17, 20 Oktoba 2022 (UTC)[jibu]
Habari ndugu kipala
Nimerudi tena azabu niliyopewa nimejifunza namakosa yote niliyofanya nitayafanyia kazi kwa umakini mkubwa namba radhi kwamakosa haya nitakuwa mtihifu kwanziya sasa natumaini ombilangu litapokewa. Edward ambele (majadiliano) 06:59, 23 Desemba 2022 (UTC)[jibu]
Tafathali ndugu kipala naomba kupewa nafasi nyingine IP ni 197.186.1.168 kitambulisho cha kuzuia ni # 2408
Taarifa ya kukuzuia!

Ndugu, imenibidi kukuzuia kwa sababu zinazotajwa chini. Wakati unapokuwa umezuiwa huwezi kuhariri isipokuwa penye huu ukurasa wako wa majadiliano. Unaweza kunijibu kwa kutumia “Email this user”.

Sababu ni kuwa umeingiza matini iliyopatikana kwa njia ya tafsiri ya kompyuta ikiwa na kasoro nzito ya lugha. Umearifiwa kwamba ni marufuku kumwaga matokeo ya google translate katika makala zetu. Wachangiaji wanaopuuza utaratibu huu wanasababisha hasara kubwa kwa Wikipedia yetu na kuwapa wengine kazi kubwa mno ya kusafisha makosa yao.

Bila shaka una nia nzuri kuchangia katika Wikipedia. Tutafurahi kushirikiana nawe lakini ni lazima ufuate utaratibu. Kazi yetu kama wakabidhi ni kulinda mradi huu.

Ukiwa tayari kufuata utaratibu pamoja na kupitia upya matini ulizozileta tayari, naomba uwasiliane nami kwa kufungua ukurasa wangu (bofya jina langu chini) na kuniandikia baruapepe kwa kubofya “Email this user” upande wa kushoto. Hapo nitaweza kukuruhusu tena. Hapo lazima uwezeshe njia kwa kufuata maelezo katika Wikipedia:Email.

Ndugu umerudia kuleta matini ulizonakili kutoka tafsiri ya kompyuta kwenye makala Conserving Carolina. Ulisahihisha kidogo sana lakini uliacha Kiswahili kibaya na kuunda kazi kwa wengine. Kipala (majadiliano) 09:48, 22 Mei 2023 (UTC)[jibu]

Salami ndugu kipala Makala ambazo nilijaribu kuhariri zilikuwa zawatu nilizo pitia nilijaribu kusahihisha bahazi naomba kupewa nafasi ya kupitia na kufanya maboresho. Edward ambele (majadiliano) 10:49, 22 Mei 2023 (UTC)[jibu]
Ndugu habari katika makala nilizo pitia zilikuwa za Watu walio fanya Kazi lakini zilikuwa namakosa naomba kufunguliwa Ili kufanya maboresho.@Kipala Edward ambele (majadiliano) 16:25, 4 Juni 2023 (UTC)[jibu]
Habari kipala niliacha ujumbe kuhusu kufunguliwa naomba kupewa nafasi kuboresha Makala nilizo kosea. @Kipala (majadiliano) Edward ambele (majadiliano) 13:12, 20 Juni 2023 (UTC)[jibu]

Masanduku na picha[hariri chanzo]

Ndugu, unapoweka sanduku la mtu katika makala, angalia kusiwe na picha pacha: moja ndani, nyingine nje ya sanduku. Ikiwemo ndani, uondoe ile ya nje. Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 08:51, 2 Septemba 2023 (UTC)[jibu]

Salamu @Riccardo Riccioni nimelirekebisha hilo Amani kwako! Edward ambele (majadiliano) 09:06, 2 Septemba 2023 (UTC)[jibu]
Ndugu, badala ya sanduku la watu wa kawaida, kuna [[Kigezo:Mtakatifu]] kwa watu wanaoheshimiwa hivyo kama wale wa mwisho uliowawekea sanduku leo. Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 14:41, 5 Septemba 2023 (UTC)[jibu]
Salamu @Riccardo Riccioni nitafanya marekebisho Amani kwako! Edward ambele (majadiliano) 14:43, 5 Septemba 2023 (UTC)[jibu]
salamu @Rikado Naomba msaada wakupa Kigezo cha watakatifu.
Unavyoona, namna hiyo sanduku halisaidii, kwa maana linakuwa fremu ya picha tu. Kwanza mistari haijatafsiriwa kwa Kiswahili, halafu inatokea tu: Feast. Ingebidi kujaza taarifa sahihi kutokana na makala yenyewe, kwa mfano tarehe ya sikukuu ya mtakatifu husika. Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 07:26, 28 Septemba 2023 (UTC)[jibu]
@Riccardo Riccionisawa nitafanya ivo kwamaelekezo sahhi amani sana! 197.250.63.196 15:01, 28 Septemba 2023 (UTC)[jibu]

Vyanzo, marejeo, lugha, kiungo[hariri chanzo]

Habari ndugu, hongera kwa kuanzisha makala na kuchangia vyema, naona bado unaanzisha makala bila kufata muongozo wa kuanzisha makala ulio bora mfano wa makala Prudencia Paul Kimiti makala hii hujaweka vyanzo, marejeo, ujaweka kiungo kuonyesha kama ipo kwenye lugha nyingine . Nitafuraishwa kama utairekebisha, Amani kwako!! Hussein m mmbaga (majadiliano) 01:36, 11 Oktoba 2023 (UTC)[jibu]

Kabisa. Inaonekana hujaweza kumudu vizuri lugha yetu. Namna hii usiendelee kuhariri makala. Unatupa kazi kubwa mno kurekebisha. Amina kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 07:14, 11 Oktoba 2023 (UTC)[jibu]
Habari nitafanya mabadiliko ya makosa yaliyo kuwepo lengo kuu kuku kiswahili Bora,Amani kwako!!@Edward ambele Edward ambele (majadiliano) 08:29, 11 Oktoba 2023 (UTC)[jibu]

Kurudia kuandika makala[hariri chanzo]

Habari ndugu , hongera kwa kutoa mchango wako , lakini naona makala unazoanzisha tayari zimeshaandikwa tafadhali kuwa makini na makala unazo anzisha mfano lama language kwa kiswahili ni Kilama na makala tayari imeshaandikwa

Ukiwa una fanya tafsiri ya makala kutoka kingereza kwenda kiswahili hakikisha unaandalia kiungo cha lugha upande wa kushoto utakuta kuna lugha nyingi zimeandikwa pale ukiona lugha ya kiswahili hiyo makala inaonyesha hata kwenye kiswahili ipo Amani kwako!! Hussein m mmbaga (majadiliano) 12:47, 6 Machi 2024 (UTC)[jibu]

Amani sana nitakuwa mwangalifu kwahilo Edward ambele (majadiliano) 13:05, 6 Machi 2024 (UTC)[jibu]
Mbona unaendelea? --Riccardo Riccioni (majadiliano) 15:25, 7 Machi 2024 (UTC)[jibu]
Hujambo katika fungio la jenifa limekumba tatizo kwenye akanti yangu niliomba kufunguliwa kwasababu alikuwa mwariri mpya naomba afunguliwe ili niweze fanya kazi tena nakumpa elimu ya kuhusu kuwariri kiswahili fasaa Amani sana -- Anuary Rajabu (majadiliano) 10:35, 9 Machi 2024 (UTC)[jibu]
habari @Hussein m mmbaga najaribu kuweka marejeo lakini nashindwa kuweka vema je! nitumie njia gani kaka Edward ambele (majadiliano) 18:12, 23 Aprili 2024 (UTC)[jibu]
Kuweka marejeo ni vile vile kama mwanzo nimejaribu kurekebisha makala zako zote hapo na unaweza kwenda kwenye mabadiliko ya hivi karibuni na kuangalia nilichobadilisha kwa kubonyeza "tofaut" amani kwako Hussein m mmbaga (majadiliano) 18:19, 23 Aprili 2024 (UTC)[jibu]
sawa Amani sana Edward ambele (majadiliano) 18:27, 23 Aprili 2024 (UTC)[jibu]

Ndugu, tafadhali usiweke mbegu ovyo! Mtu si filamu, si michezo, si sheria, ni mtu, hivyo weka {{mbegu-mtu}} au {{mbegu-igiza-filamu}} au {{mbegu-cheza-mpira}} n.k. Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 12:37, 26 Machi 2024 (UTC)[jibu]

Naomba radhi sana kwakosahilo nitaweka sawa wakati mwingine Amani sana Edward ambele (majadiliano) 13:09, 26 Machi 2024 (UTC)[jibu]
Mbona unaendelea kuweka kigezo cha mbegu-michezo kwa mtu ambaye ni mwanamichezo lakini si mchezo? Unanipa kazi ya kurekebisha makala zako zote! Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 08:44, 27 Machi 2024 (UTC)[jibu]
  1. na kumalizika na