Samuel N. Alexander

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Samuel N. Alexander mwaka wa 1964, akiwa katika jukwaa akizungunza katika sherehe ya kustaafu ya kompyuta ya SEAC
Samuel N. Alexander mwaka wa 1964, akiwa katika jukwaa akizungumza katika sherehe ya kustaafu ya kompyuta ya SEAC.

Samuel Nathan Alexander (Wharton, Texas, 22 Februari 1910 - Chevy Chase, Maryland, 9 Desemba 1967) alikuwa mwalimu wa kompyuta wa Marekani; ndiye alitengeneza SEAC, mojawapo ya kompyuta za zamani zaidi.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Samuel N. Alexander kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.