Mtumiaji:Edward ambele

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Userbox
Mtumiaji huyu ni Mwanachama wa
Wikipedia.


sw Mtumiaji huyu ni mwongeaji wa Kiswahili Fasaha.
Mtumiaji huyu Anatokea Tanzania.
Mtumiaji huyu anatumia muda wake mwingi kuhariri Wikipedia.
Wiki-N Mtumiaji huyu ni mhariri wa Kiswahili fasaha katika Wikipedia.

Edward Anbele ni mchangiaji wa kujitolea katika miradi mbalimbali ya shirika la Wikimedia wa nchini Tanzania. Miradi hiyo ni pamoja na wikipedia ya kiswahili (nikiwa kama mhariri wa makala za kiswahili kutoka kikundi cha wahiriri wa makala za kiswahili Arusha, Wikimedia Community User Group Tanzania), Wikidata, Wikimedia Commons pamoja na mradi wa Meta-Wiki.