Kikundi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Ni muungano wa watu au wanyama wanaoishi pamoja katika umoja, mfano kikundi cha nyani,kikundi cha wajasiriamali n.k. nyani wana tabia ya kuishi pamoja katika vikundi vyao na hushirikiana kutafuta chakula na wajasiriamali hufanya biashara kwa pamoja na kugawana mapato yao .