4 Machi
Mandhari
(Elekezwa kutoka Machi 4)
Feb - Machi - Apr | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 4 Machi ni siku ya 63 ya mwaka (ya 64 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 302.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1678 - Antonio Vivaldi, mtunzi wa muziki kutoka Italia
- 1881 - Thomas Sigismund Stribling, mwandishi kutoka Marekani
- 1932 - Miriam Makeba, mwanamuziki kutoka Afrika Kusini
- 1949 - Hans van der Pluijm, meneja wa Yanga Sc nchini Tanzania
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 1484 - Kasimir Mtakatifu, mwana mfalme wa Poland
- 1952 - Charles Sherrington, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1932
- 1963 - William Carlos Williams, mwandishi Mmarekani, na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer mwaka wa 1963
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Kasimiri, Fosyo, Arkelao, Kwirino na wenzao, Basino wa Trier, Apiano wa Comacchio, Petro va Cava, Yohane Antoni Farina n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- BBC: On This Day
- On This Day in Canada Archived 2012-12-16 at Archive.today
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 4 Machi kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |