8 Mei : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Mstari 19: | Mstari 19: | ||
* [[685]] - [[Mtakatifu]] [[Papa Benedikto II]] |
* [[685]] - [[Mtakatifu]] [[Papa Benedikto II]] |
||
* [[2007]] - [[Abdullah_bin_Faisal_Al_Saud]], [[mwana]] wa [[Mfalme]] wa [[Saudia]] |
* [[2007]] - [[Abdullah_bin_Faisal_Al_Saud]], [[mwana]] wa [[Mfalme]] wa [[Saudia]] |
||
==Viungo vya nje== |
==Viungo vya nje== |
||
{{commons}} |
{{commons}} |
Pitio la 12:46, 9 Aprili 2016
Apr - Mei - Jun | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Matukio
- 1721 - Uchaguzi wa Papa Inosenti XIII
- 1945 - Mwisho wa Vita Kuu ya Pili ya Dunia katika Ulaya: jeshi la Ujerumani linasalimu amri
Waliozaliwa
- 1828 - Henri Dunant, mwanzilishi wa Chama cha Kimataifa cha Msalaba Mwekundu, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1901
- 1884 - Harry S. Truman, Rais wa Marekani (1945-1953)
- 1902 - André Lwoff, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1965
- 1925 - Ali Hassan Mwinyi, Rais wa pili wa Tanzania
- 1945 - Keith Jarrett, mwanamuziki kutoka Marekani
- 1954 - John Michael Talbot, mwimbaji Mkristo kutoka Marekani
- 1975 - Enrique Iglesias, mwimbaji kutoka Hispania
- 1975 - Mohamed Gulam Dewji, mwanasiasa kutoka Tanzania
- 1978 - Baraka Makaba, mtayarishaji wa filamu kutoka Tanzania
Waliofariki
- 535 - Papa Yohane II
- 685 - Mtakatifu Papa Benedikto II
- 2007 - Abdullah_bin_Faisal_Al_Saud, mwana wa Mfalme wa Saudia