Fransisko wa Paola : Tofauti kati ya masahihisho
d r2.7.1) (Roboti: Imeongeza hr:Sveti Franjo Paulski |
No edit summary |
||
Mstari 1: | Mstari 1: | ||
[[Picha:Franziskus von Paola.jpg|thumb|right|200px]] |
[[Picha:Franziskus von Paola.jpg|thumb|right|200px]] |
||
'''Mtakatifu Fransisko wa Paola''' (kwa [[Kiitalia]] ''Francesco |
'''Mtakatifu Fransisko wa Paola''' (kwa [[Kiitalia]] ''Francesco da [[Paola]]''; [[27 Machi]] [[1416]] – [[2 Aprili]] [[1507]]) alikuwa [[mtawa]] nchini [[Italia]]. |
||
Ametambuliwa na [[Kanisa Katoliki]] chini [[Papa Leo X]] kuwa [[mtakatifu]] kuanzia mwaka |
Ametambuliwa na [[Kanisa Katoliki]] chini ya [[Papa Leo X]] kuwa [[mtakatifu]] kuanzia mwaka [[1519]]. Tarehe ya [[kif]]o chake, yaani [[2 Aprili]], pia ni [[sikukuu]] yake. |
||
== Maisha == |
== Maisha == |
||
Fransisko alizaliwa kwa [[muujiza]] katika mji wa [[Paola]], mkoa wa [[Calabria]], [[Italia]], mwaka 1416. Wazazi wake walikuwa wamefikia uzee bila ya kuweza kuzaa, lakini walimuomba [[Fransisko wa Asizi]] na kuweka nadhiri kuwa mtoto wao ataitwa Fransisko. Ndipo walipojaliwa kuzaa. |
Fransisko alizaliwa kwa [[muujiza]] katika mji wa [[Paola]], mkoa wa [[Calabria]], [[Italia]], mwaka 1416. Wazazi wake walikuwa wamefikia uzee bila ya kuweza kuzaa, lakini walimuomba [[Fransisko wa Asizi]] na kuweka [[nadhiri]] kuwa mtoto wao ataitwa Fransisko. Ndipo walipojaliwa kuzaa. |
||
Tangu [[utoto]]ni alishika maisha magumu ya [[sala]] na [[toba]] upwekeni. |
Tangu [[utoto]]ni alishika maisha magumu ya [[sala]] na [[toba]] upwekeni. |
||
Alianzisha shirika la watawa wakaa-pweke, ambalo baadaye likawa [[Utawa wa Wadogo Kabisa]], likapata kibali kutoka kwa [[Papa]] mwaka 1506. Pamoja na kuahidi [[mashauri ya Kiinjili]] matatu ya kawaida, wanaahidi pia kuishi daima kama wakati wa [[Kwaresima]]. |
Alianzisha shirika la watawa [[wakaa-pweke]], ambalo baadaye likawa [[Utawa wa Wadogo Kabisa]], likapata kibali kutoka kwa [[Papa]] mwaka [[1506]]. Pamoja na kuahidi [[mashauri ya Kiinjili]] matatu ya kawaida, wanaahidi pia kuishi daima kama wakati wa [[Kwaresima]]. |
||
[[Kanuni]] yake ni ya pekee, ingawa inafuata ile ya [[Ndugu Wadogo]] ikiiongezea malipizi makali ya [[mababu wa jangwani]]. |
[[Kanuni]] yake ni ya pekee, ingawa inafuata ile ya [[Ndugu Wadogo]] ikiiongezea [[malipizi]] makali ya [[mababu wa jangwani]]. |
||
Kauli-mbiu yake ilikuwa neno "caritas" (kwa [[Kilatini]], "upendo"). |
Kauli-mbiu yake ilikuwa neno "caritas" (kwa [[Kilatini]], "[[upendo]]"). |
||
Fransisko alikufa mwaka 1507 huko [[Tours]], [[Ufaransa]] alipokuwa ametumwa na Papa. |
Fransisko alikufa mwaka 1507 huko [[Tours]], [[Ufaransa]] alipokuwa ametumwa na Papa. |
||
Mstari 21: | Mstari 21: | ||
== Marejeo == |
== Marejeo == |
||
{{Commons category|Francis of Paola}} |
|||
* "Sala ya Kanisa - Vipindi vya Liturjia", Toleo la Tatu 1996, Ndanda - Peramiho: Benedictine Publications, uk.1328 |
|||
*[http://www.francescodipaola.info FrancescoDiPaola.info ], Official website |
|||
*[http://www.catholic-forum.com/saints/saintf02.htm Catholic-Forum.com], site on Francis of Paola |
|||
*[http://www.catholic.org/saints/saint.php?saint_id=645 Catholic.org], Online entry for Francis of Paola |
|||
*[http://www.newadvent.org/cathen/06231a.htm NewAdvent.org], His entry at the ''[[Catholic Encyclopedia]]'' |
|||
*Herbert Thurston, ''The Physical Phenomena of Mysticism,'' pp. 174–75 |
|||
* [http://www.saintpetersbasilica.org/Statues/Founders/FrancisdePaola/Francis%20de%20Paola.htm SaintPetersBasilica.org], Founder Statue in St Peter's Basilica |
|||
{{mbegu-Mkristo}} |
{{mbegu-Mkristo}} |
||
⚫ | |||
[[Jamii:Waliozaliwa 1416]] |
[[Jamii:Waliozaliwa 1416]] |
||
[[Jamii:Waliofariki 1507]] |
[[Jamii:Waliofariki 1507]] |
||
[[Jamii:Watawa waanzilishi]] |
[[Jamii:Watawa waanzilishi]] |
||
[[Jamii:Waminimi]] |
[[Jamii:Waminimi]] |
||
⚫ | |||
[[ay:Francesco di Paola]] |
[[ay:Francesco di Paola]] |
Pitio la 15:03, 2 Aprili 2012
Mtakatifu Fransisko wa Paola (kwa Kiitalia Francesco da Paola; 27 Machi 1416 – 2 Aprili 1507) alikuwa mtawa nchini Italia.
Ametambuliwa na Kanisa Katoliki chini ya Papa Leo X kuwa mtakatifu kuanzia mwaka 1519. Tarehe ya kifo chake, yaani 2 Aprili, pia ni sikukuu yake.
Maisha
Fransisko alizaliwa kwa muujiza katika mji wa Paola, mkoa wa Calabria, Italia, mwaka 1416. Wazazi wake walikuwa wamefikia uzee bila ya kuweza kuzaa, lakini walimuomba Fransisko wa Asizi na kuweka nadhiri kuwa mtoto wao ataitwa Fransisko. Ndipo walipojaliwa kuzaa.
Tangu utotoni alishika maisha magumu ya sala na toba upwekeni.
Alianzisha shirika la watawa wakaa-pweke, ambalo baadaye likawa Utawa wa Wadogo Kabisa, likapata kibali kutoka kwa Papa mwaka 1506. Pamoja na kuahidi mashauri ya Kiinjili matatu ya kawaida, wanaahidi pia kuishi daima kama wakati wa Kwaresima.
Kanuni yake ni ya pekee, ingawa inafuata ile ya Ndugu Wadogo ikiiongezea malipizi makali ya mababu wa jangwani.
Kauli-mbiu yake ilikuwa neno "caritas" (kwa Kilatini, "upendo").
Fransisko alikufa mwaka 1507 huko Tours, Ufaransa alipokuwa ametumwa na Papa.
Tazama pia
Marejeo
- FrancescoDiPaola.info , Official website
- Catholic-Forum.com, site on Francis of Paola
- Catholic.org, Online entry for Francis of Paola
- NewAdvent.org, His entry at the Catholic Encyclopedia
- Herbert Thurston, The Physical Phenomena of Mysticism, pp. 174–75
- SaintPetersBasilica.org, Founder Statue in St Peter's Basilica
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |