Tofauti kati ya marekesbisho "Shairi"

Jump to navigation Jump to search
108 bytes removed ,  mwaka 1 uliopita
no edit summary
d (Protected "Shairi" ([Kuhariri=Zuia watumiaji wapya au wale ambao hawajajisajilisha] (itakwisha 20:04, 9 Septemba 2021 (UTC)) [Kuhamisha=Zuia watumiaji wapya au wale ambao hawajajisajilisha] (itakwisha 20:04, 9 Septemba 2021 (UTC))))
No edit summary
Tag: Reverted
[[File:Mrisho Mpoto.jpg|thumb|right|Mshairi Mrisho Mpoto akiwa katika Tamasha la [[Filamu]] la Kimataifa la [[Zanzibar]] (ZIFF) 2011]]
'''Shairi''' (kwa [[Kiingereza]]: ''poem'') ni aina ya [[fasihi]]. Mashairi ni [[tungo]] zenye kutumia mapigo ya [[silabi]] kwa utaratibu maalumu wa [[Muziki|kimuziki]] kwa kutumia [[lugha ya mkato]], [[lugha ya picha]] na [[tamathali za semi]].
 
Mashairi ndiyo fasihi pekee [[duniani]] ambayo huingizwa katika [[fasihi andishi]] na [[fasihi simulizi]].
 
Mashairi huweza kuandikwa au kutungwa kulingana na jinsi yanavyoonekana. Hii ina maana kuwa, mashairi huweza kutofautishwa kwa [[idadi]] ya [[Mshororo|mishororo]], jinsi [[Neno|maneno]] yalivyopangwa, [[urari]] wa [[kina (fasihi)|vina]] na kadhalika. Mtu anayetunga shairi huitwa [[malenga]]. Mtu anayekariri au kuimba shairi huitwa [[manju]].
 
Kuna [[mashairi]] yanayofuata taratibu za [[mapokeo|kimapokeo]], yaani yanazingatia taratibu za [[urari]] na vina, [[mizani (ushairi)|mizani]], idadi sawa ya mistari, vituo na [[ubeti|beti]]. Mashairi hayo huwa na mizani 14 au 16 katika kila mstari, yaani mizani 7 au 8 kwa kila kipande cha mstari.
 
Pia kuna mashairi yasiyofuata utaratibu huo wa kimapokeo na huitwa mashairi ya kimamboleo. Mashairi hayo mara nyingi huwa ni [[nyimbo]].
Kuna aina kuu mbili za mashairi, nazo ni kama zifuatavyo:
===(i) Mashairi ya kimapokeo===
Haya ni mashairi yanayozingatia kanuni za muwala/urari (ulinganifu) wa mizani, vina, idadi ya mistari katika kila [[ubeti]] na kituo katika shairi. Vilevile huitwa ''mashairi funge''.
 
Aina ya mashairi kulingana na mtindo huu wa mapokeo,hupatikana kwa kuangalia idadi ya mishororo katika kila ubeti.
 
==Ubeti==
Ubeti ni fungu la mistari lenye maana kamili. Ubeti unaweza kulinganishwa na [[aya]] katika maandiko ya kinathari. Mara nyingi ubeti huishia katika kituo. Ubeti mmoja unaweza kuwa na:
*Mstari mmoja ([[tamonitha]])
*Mistari miwili (tathiniya/[[tathinia]]/uwili): shairi hili huwa na mishororo miwili katika kila ubeti. vina vyake vyaweza kuwa na mtiririko.
*Mistari mitatu ([[tathilitha]]): shairi hili huwa na mishororo mitatu katika kila ubeti. vina vyake huenda vikawa na urari.
*Mistari mine ([[tarbia]]): shairi la aina hii huwa na mishororo minne katika kila ubeti. mara nyingi shairi hili hugawanywa katika sehemu mbili, [[ukwapi na utao]]. Mshororo wa kwanza wa shairi hili huitwa kipokeo, wa pili huitwa mloto, wa nne huitwa kibwagizo. kibwagizo huwa kinarudiwarudiwa katika kila ubeti.
*Mistari mitano ([[takhmisa]]): hili ni shairi lenye mishororo mitano katika kila ubeti
*Mistari zaidi ya mitano ([[sabilia]]), kwa mfano: [[tasdisa]] huwa na mishororo sita katika kila ubeti, [[tathmina]] huwa na mishororo minane katika kila ubeti, [[ukumi]] huna na mishororo kumi katika kila ubeti.
 
==Aina za mashairi jinsi yanavyojitokeza==
 
==Kituo==
Ni mstari (mshororo) wa mwisho katika kila ubeti wa shairi ambao huonesha msisitizo wa ubeti mzima au shairi zima. Wakati mwingine kituo huitwa [[(kibwagizo]]/[[korasi]]/[[mkarara]]/[[kiitikio]]).
 
Kibwagizo ni mshororo wa mwisho katika ubeti ambao unajirudiarudia.
472

edits

Urambazaji