Misemo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Misemo ni kauli fupifupi zinazotumiwa na jamii ili kusisitiza ukweli wa jambo fulani. Misemo huunganisha dhana au mawazo mawili kuwa moja. Ni fungu la maneno ambayo hutumiwa na jamii fulani kwa lengo la kutoa msisitizo wa maadili fulani. Mfano:

  • Elimu ni ufunguo wa maisha
  • Mtu ni afya
  • Heshima ya mtu ni utu
  • Mtu kwao
  • Maji ni uhai'

Msemo unapokuwepo katika jamii kwa muda mrefu halafu ukatoweka basi unaitwa "msimu".

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Misemo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.