Nenda kwa yaliyomo

Soga (hadithi)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Soga ni utanzu wa fasihi simulizi unaosimulia matukio fulani kwa makusudi ya kusisimua. Utanzu huo hutumika pia kama masimulizi yanayoibua utani kuhusu jamii fulani [1]. Pia ni hadithi zinazokusanya ucheshi ndani yake [2] na mara nyingi hadithi hizo husababisha mtu kutabasamu pindi anaposimuliwa.

Mara nyingi soga huwa hadithi ndogondogo zilizokusanya mzaha lakini wenye mafunzo muhimu kwa binadamu[3].

  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-03-22. Iliwekwa mnamo 2020-03-22.
  2. https://www.mwalimumakoba.co.tz/2018/09/mfano-wa-ngano-vigano-soga-tarihi-na.html
  3. https://www.kenyaplex.com/questions/35598-eleza-maana-ya-soga-katika-fasihi-simulizi.aspx
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Soga (hadithi) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.