Nahau

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Nahau ni semi fupifupi ambazo hutumia lugha/maneno ya kawaida lakini maneno hayo hutoa maana tofauti na ile iliyo kwenye maneno ya awali. Japokuwa nahau hutumia maneno ya kawaida lakini kauli yake ina undani kiasi kwamba kwa wageni wasiofahamu lugha hiyo hawawezi kuelewa maana. Baadhi ya nahau ni kamav vile:

  • Amina amevunja ungo
  • Sungura ameaga dunia
  • Lupinga amepata jiko
  • Mussa amevaa miwani
  • Oli hana mkono wa birika
  • Kutonesha kidonda
  • Kukalia kuti kavu

Hana mbele wala nyuma

Marejeo[hariri | hariri chanzo]