Nenda kwa yaliyomo

Visakale

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Visakale (vilevile: tarihi) ni hadithi fupifupi zinazosimulia matukio ya maalumu ya kihistoria. Matukio haya yanaweza kuwa ya kweli au ya kubuni. Tarihi inaweza kuhusu historia ya wafalme, koo za utawala, kumbukumbu za kutokea kwa koo fulani, magonjwa, vita, njaa na kadhalika. Hivyo basi wahusika wake mara nyingi huwa ni binadamu ambao hupewa uwezo mkubwa au mdogo mno kulingana na matukio yanayosimuliwa. Dhima ya tarihi ni kuikumbusha au kuitahadharisha jamii juu ya tukio fulani ili lieziwe au likomeshwe. Kama ilivyo ngano, tarihi, pia huanza kwa "Paukwa.... pakawa"....

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]