Majadiliano ya mtumiaji:Carren loy

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Karibu kwenye Wikipedia kwa Kiswahili!

Twamfurahia kila mmoja anayeingia na kuungana nasi. Hii ni kamusi elezo ya maandishi huru. Unaweza kuandika makala uipendayo - hata kuitafsiri kutoka katika Wikipedia kwa lugha nyingine. Kwa mawili matatu labda tazama:

Jisikie huru kuuliza swali lolote lihusianalo na Wikipedia hii. Karibu kujitambulisha kwenye "Ukurasa wa mtumiaji". Ukitaka kupata kwanza uzoefu wa kuweza kuhariri Wikipedia, tafadhali tumia ukurasa wa sanduku la mchanga. Humo unaruhusiwa kujipatia uzoefu wa uundaji wa makala za Wikipedia! Juu yako mwenyewe uandike pekee kwenye ukurasa wako wa mtumiaji baada ya kufungua akaunti. Humo uko huru kutangaza chochote upendacho. Ujue miiko:

  • usilete kamwe matini wala picha kutoka tovuti za nje
  • wala matangazo ya kibiashara (pamoja na kuelekeza kwa kurasa zenye matangazo).
  • usimwage kamwe matini kutoka google-translate au programu za kutafsiri.

Tunakushauri pia kuandikisha email yako; haitaonekana na wengine lakini wataweza kukuandikia kupitia mfumo wa Wikipedia. Karibu sana!


Welcome to Kiswahili Wikipedia!

We welcome you even if you don't speak Kiswahili. For a bot flag go to this site. If you try to edit entries as a non speaker better first communicate with one of our admins who will advise you. You find them at Wikipedia:Wakabidhi. And btw: NEVER

  • post computer translated texts (like google-translate, mediawiki Content Translation etc.)
  • nor copied texts/images from other webs to this site!
  • do not use links to commercial pages.

As a newcomer we advise that you register your email which will not be visible to others but it allows to contact you, which often is helpful in case of problems.

Idd ninga (majadiliano) 11:43, 25 Mei 2021 (UTC)[reply]

Habari. nimepitilia Uwanja wa michezo wa Martyrs. Kulikwa na makosa mengi mno. Tafadhali jitahidi zaidi. Usiache vitu kama "Nukuu inahitajika | tarehe = Machi 2019" na mengine. Je unatumia tafsiri ya kompyuta? Usifanye hovyo. Kipala (majadiliano) 11:51, 11 Juni 2021 (UTC)[reply]

Kuondoa Mabano[hariri chanzo]

Salamu, hongera sana kwa juhudi zako katika uhariri , ni vyema sana kutazama maneno amabyo yanafaa kuondolewa mabano kabla ya kuyafuta, neno kama litakuwa na rangi nyekundu, inamaanisha kuwa hakuna makala ambayo imeandikwa, hivyo kuliko kulitoa wakati mwingine ni heria kuangalia kama kuna makala ndani yake, kama haipo kabisa ni bora kuianzisha kuliko kuifuta, pia kama neno moja katika makala moja limeshawekewa mabano, basi ni bora kutokurudia neno hilo kwa kuliwekea mabano mara ya pili, Amani sana Idd ninga (majadiliano)

Rangi Nyekundu[hariri chanzo]

Habari Carren,ukiona rangi neno lina rangi nyekundu katika makala haimaanishi kuwa neno hilo limekosewa,rangi nyekundu humaanisha kuwa neno hilo au jina hilo bado halina makala katika Kiswahili, si vyema kulifuta kama halina madhara, unaweza kuanzisha makala nyingine,Amani Sana. Idd ninga (majadiliano)

Swa hakuna shida Idd ila hua siyafuti ninafany kuondoa mabano tu ila neno ninaliacha Carren loy (majadiliano) 08:27, 15 Juni 2021 (UTC)[reply]