Kina (fasihi)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kina katika fasihi ni sauti inayojirudia katika shairi.

Vina ni silabi zenye sauti ya namna moja zinazotokea katikati au mwishoni mwa kila mshororo wa kila ubeti. Hivyo basi kuna vina vya kati na vina vya mwisho.

Noun project 1822.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kina (fasihi) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.