Tofauti kati ya marekesbisho "Kigamboni"

Jump to navigation Jump to search
157 bytes added ,  miaka 2 iliyopita
no edit summary
 
 
'''{{BASEPAGENAME}}Kigamboni''' ni jina la [[Wilaya]] katika [[Mkoa wa Dar es Salaam]], [[Tanzania]] yenye [[postikodi]] [[namba]] '''17000'''<ref>https://www.tcra.go.tz/images/documents/postcode/dsm.pdf</ref> , pia jina la kata ndani yake iliyo na postikodi 17107. KwaHadi mwaka 2016 Kigamboni ilikuwa jina la kata pekee, na kwa mujibu wa [[sensa]] iliyofanyika mwaka wa [[2012]], kata inailikuwa na wakazi wapatao 30,496 waishio humo.<ref>http://www.meac.go.tz/sites/default/files/Statistics/Tanzania%20Population%20Census%202012.pdf Wilaya ya Temeke - Mkoa wa Dar es Salaam</ref>
 
Kigamboni ina umbo la [[rasi]] kati ya [[Bahari Hindi]] na [[maji]] ya [[bandari]]. Imetengwa na [[jiji]] la [[Dar es Salaam]] kwa maji ya [[Kurasini Creek]].
 
Mawasiliano yapo kwa njia ya [[feri]] kati ya Kigamboni na [[Kivukoni]] upande wa jiji. Tangu 2016 kuna [[Daraja la Julius Nyerere]] linalounganisha maeneo karibu na [[Vijibweni]] upande mmoja na barabara ya Nelson Mandela (zamani Port Access Road) upande wa jiji. Kuna pia [[barabara]] inayozunguka bandari lakini njia hii ni ndefu mno ni [[kilomita]] zaidi ya [[hamsini]] hadi [[kitovu]] cha jiji kwa njia ya [[nchi kavu]]. Kuna mipango ya kujenga [[daraja]].
 
Kuna pia [[barabara]] inayozunguka bandari kupitia Kibada hadi kufika Kilwa Road lakini njia hii ni ndefu mno ni [[kilomita]] zaidi ya [[hamsini]] hadi [[kitovu]] cha jiji kwa njia ya [[nchi kavu]]. Kuna mipango ya kujenga [[daraja]].
 
Pia [[Kigamboni]] katika kata ya [[Vijibweni]] ndiyo sehemu ambapo kuna [[yadi]] nyingi za [[mafuta]] k.mf. kampuni zinazohifadhi mafuta katika yadi hizo ni: [[CAMEL OIL]], [[OIL COM]], [[BIG BON]] na nyinginezo.
{{marejeo}}
 
{{Kata za Wilaya ya TemekeKigamboni}}
{{mbegu-jio-TZ}}
 
[[Jamii:Mbegu za jiografia ya Tanzania]]
[[Jamii:Dar es Salaam]]
[[Jamii:Wilaya ya TemekeKigamboni]]

Urambazaji