Kivukoni

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ramani ya eneo la Kivukoni.
Soko la samaki huko Kivukoni.

Kivukoni ni kata mojawapo ya Wilaya ya Ilala katika Mkoa wa Dar es Salaam, Tanzania, yenye postikodi namba 11101[1].

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 4,045 [2]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2002, kata ilikuwa na wakazi wapatao 4,826 waishio humo.[3]

Katika kata hii iko sehemu ya kihistoria ya Dar es Salaam ya zamani za ukoloni, ikiwa pamoja na makanisa ya kipindi cha mwanzoni mwa umisionari, kama vile kanisa la Mtakatifu Joseph na kanisa la Azania Front.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2018-08-05. Iliwekwa mnamo 2018-02-01.
  2. https://www.nbs.go.tz/
  3. 2002 Population and Housing Census General Report (en). Government of Tanzania. Jalada kutoka ya awali juu ya 2010-02-10. Iliwekwa mnamo 2008-08-21.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Kata za Wilaya ya Ilala - Tanzania

Bonyokwa | Buguruni | Buyuni | Chanika | Gerezani | Gongolamboto | Ilala | Jangwani | Kariakoo | Kimanga | Kinyerezi | Kipawa | Kipunguni | Kisukuru | Kisutu | Kitunda | Kivukoni | Kivule | Kiwalani | Liwiti | Majohe | Mchafukoge | Mchikichini | Minazi Mirefu | Mnyamani | Msongola | Mzinga | Pugu | Pugu Station | Segerea | Tabata | Ukonga | Upanga Magharibi | Upanga Mashariki | Vingunguti | Zingiziwa