Kanisa la Mtakatifu Joseph

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Kanisa la Mt. Joseph

Kanisa la Mtakatifu Joseph (kwa Kiingereza: St Joseph Cathedral church) ni kanisa lililopo katika Mkoa wa Dar es Salaam, Wilaya ya Ilala. Kanisa hili lilijengwa na wamisionari mwaka 1898. Limejengwa kwa umahiri. Kanisa hilo lipo mkabala na Sokoine drive likiangalia Waterfront karibu na geti la boti zinazoelekea Zanzibar.

Flag-map of Tanzania.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Tanzania bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kanisa la Mtakatifu Joseph kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.