Msongola
Msongola ni moja ya kata (ward) ya Wilaya ya Ilala katika Mkoa wa Dar es Salaam, Tanzania, yenye postikodi namba 12114. Kata hiyo imepakana na Mbande ambayo ipo wilaya ya Temeke, imepakana pia na mkoa wa Pwani, imepakana pia na Kitunda Kivule na Chanika ambazo zipo wilaya ya Ilala.
Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 94,923 [1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ya Msongola ilikuwa na jumla ya watu 46,989, wakiwemo wanawake 24,584 na wanaume 22,401 katika kaya zaidi ya 10,418.[2][3]
Msongola ina vitongoji vitano ambavyo ni: Yangeyange, Mbondole, Mvuleni, Kitonga na Mvuti.
Msongola ina zahanati za serikali tatu ambazo ziko Mvuti, Kitonga na Msongola.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ https://www.nbs.go.tz/
- ↑ "2002 Population and Housing Census General Report" (kwa Kiingereza). Government of Tanzania. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-02-10. Iliwekwa mnamo 2008-08-21.
- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-08-10. Iliwekwa mnamo 2022-03-09.
Kata za Wilaya ya Ilala - Tanzania | ||
---|---|---|
Bonyokwa | Buguruni | Buyuni | Chanika | Gerezani | Gongolamboto | Ilala | Jangwani | Kariakoo | Kimanga | Kinyerezi | Kipawa | Kipunguni | Kisukuru | Kisutu | Kitunda | Kivukoni | Kivule | Kiwalani | Liwiti | Majohe | Mchafukoge | Mchikichini | Minazi Mirefu | Mnyamani | Msongola | Mzinga | Pugu | Pugu Station | Segerea | Tabata | Ukonga | Upanga Magharibi | Upanga Mashariki | Vingunguti | Zingiziwa |
Makala hii kuhusu maeneo ya Dar es Salaam bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Msongola kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno. |