Upanga Magharibi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Upanga Magharibi ni jina la kata ya Wilaya ya Ilala katika Mkoa wa Dar es Salaam, Tanzania yenye postikodi namba 11103[1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2002, kata ya Upanga Magharibi ina wakazi wapatao 9,259 waishio humo [2].

Kata ya Upanga magharibi, kiutawala, ina mitaa mitatu.

  • Mtaa wa Charambe ambao ndipo ilipo Hospitali ya Taifa ya Muhimbili
  • Mtaa wa Mfaume ambao ndipo ilipo ofisi ya makao makuu ya SIDO Tanzania
  • Mtaa wa Fire ambao ndipo kwenye Kituo kikubwa cha Idara ya Zima moto.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Flag of Tanzania.svg Kata za Wilaya ya Ilala - Tanzania Flag of Tanzania.svg

BuguruniChanikaGerezaniGongo la MbotoIlalaJangwaniKariakooKimangaKinyereziKipawaKisutuKitundaKivukoniKiwalaniMajoheMchafukogeMchikichiniMsongolaPuguSegereaTabataUkongaUpanga MagharibiUpanga MasharikiVingunguti