Buguruni

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Muonekano wa eneo la biashara huko Buguruni wakati wa mchana.
Muonekano wa Daraja la juu la watembea kwa miguu Buguruni.


Kata ya Buguruni
Kata ya Buguruni is located in Tanzania
Kata ya Buguruni
Kata ya Buguruni

Mahali pa Buguruni katika Tanzania

Majiranukta: 6°49′26″S 39°14′56″E / 6.82389°S 39.24889°E / -6.82389; 39.24889
Nchi Tanzania
Mkoa Dar es Salaam
Wilaya Ilala
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 67,028

Buguruni ni jina la kata ya wilaya ya Ilala katika mkoa wa Dar es Salaam, Tanzania yenye postikodi namba 12102[1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2002, kata ina wakazi wapatao 67,028 waishio humo.[2]

Maendeleo ya Buguruni[hariri | hariri chanzo]

Buguruni ni kata yenye maendeleo. Baadhi ya maendeleo yaliyomo ndani ya kata ya Buguruni ni:

Shule ya Buguruni [3]

Soko la Buguruni

Hospitali ya Buguruni

• Kituo cha Polisi cha Buguruni

• Njia za usafiri

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Flag of Tanzania.svg Kata za Wilaya ya Ilala - Tanzania Flag of Tanzania.svg

BuguruniChanikaGerezaniGongo la MbotoIlalaJangwaniKariakooKimangaKinyereziKipawaKisutuKitundaKivukoniKiwalaniMajoheMchafukogeMchikichiniMsongolaPuguSegereaTabataUkongaUpanga MagharibiUpanga MasharikiVingunguti