Chanika (Ilala)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Chanika)


Kata ya Chanika
Kata ya Chanika is located in Tanzania
Kata ya Chanika
Kata ya Chanika

Mahali pa Chanika katika Tanzania

Majiranukta: 6°49′26″S 39°14′56″E / 6.82389°S 39.24889°E / -6.82389; 39.24889
Nchi Tanzania
Mkoa Dar es Salaam
Wilaya Ilala
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 43,912

Chanika (Ilala) ni kata ya Wilaya ya Ilala katika Mkoa wa Dar es Salaam, Tanzania yenye postikodi namba 12115.

Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ina wakazi wapatao 43,912 waishio humo.[1]

Wilaya hii ina shule ya sekondari ya Chanika na Buyuni.

Eneo maarufu la Bonde la Mpunga au njia ya kwenda kwa Mama Kashia.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Flag of Tanzania.svg Kata za Wilaya ya Ilala - Tanzania Flag of Tanzania.svg

BuguruniChanikaGerezaniGongo la MbotoIlalaJangwaniKariakooKimangaKinyereziKipawaKisutuKitundaKivukoniKiwalaniMajoheMchafukogeMchikichiniMsongolaPuguSegereaTabataUkongaUpanga MagharibiUpanga MasharikiVingunguti