Majadiliano:Msongola
Mandhari
Ijue msongola
[hariri chanzo]Msongola ni moja ya kata (ward) ya wilaya ya ilala katika mkoa wa Dar es salaam nchini Tanzania. Msongola inavitongoji vitano ambavyo ni yange yange, mbondole,mvuleni,kitonga na mvuti.
Msongola inazahanati za serikali tatu ambazo ni mvuti, kitonga na zahanat ya msongola. Kata ya msongola imepakana na mbande ambayo ipo wilaya ya temeke, imepakana pia na mkoa wa pwani, imepakana pia na chanika ambayo ipo wilaya ya ilala,kitunda kivule pia ipo wilaya ya ilala Quickspeed Thinker (majadiliano) 11:53, 4 Machi 2024 (UTC)